Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #461
Nahisi harufu ya ayanda kubambikiwa mimba maskini kijana wetu.
Niambieni hajabambikwa kweli leo?
Niambieni hajabambikwa kweli leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namashaka inaweza tokeaUnahisi Nombuso atamsingizia Ayanda mimba?
Kwahiyo hili tapeli limerudi tena Safari hii linamtumia phindile wampige xulu pesa tena..Tapeli Richard[emoji23][emoji23][emoji23]pesa walizompiga Zulu hawajatosheka sasa wanataka kusingizia Amandla mtoto wa.Zulu
Japo sjaikutia mwanzon... ila inaonyesha phindile na richard ndio waliosuka dili kwaajili ya kumtapeli xulu na mxo.... sma kaenda kumsalimu mk katika maongezi baina yake na sma mk akatambua kua zweli yupo mafichoni anatafutwa... kengele ya hatari ikagonga kichwani kwa mk akijua kua lazma atafuatwa na zweli na kweli ka alivyo fikiri ndivyo ilivyokua dili la zweli likaungua wakakutana uso kwa uso wakinyoosheana miguu ya kuku.Leo nimeikosa imekuwaje eti nipe detail hadi za nosi wangu na mwanaharamu nombuso.
Ayanda namkubali sana
😁😂😅Huyu mama mswahili sana aiseeh na alivyo kibonge kakabeba kamalaya kale kama glass ya maji.
Halafu sometime anaitwa lindiwe au malindi. Why?
Huyu sma nae anamchoma kaka yake kisa mpenzi tuJapo sjaikutia mwanzon... ila inaonyesha phindile na richard ndio waliosuka dili kwaajili ya kumtapeli xulu na mxo.... sma kaenda kumsalimu mk katika maongezi baina yake na sma mk akatambua kua zweli yupo mafichoni anatafutwa... kengele ya hatari ikagonga kichwani kwa mk akijua kua lazma atafuatwa na zweli na kweli ka alivyo fikiri ndivyo ilivyokua dili la zweli likaungua wakakutana uso kwa uso wakinyoosheana miguu ya kuku.
Japo sjaikutia mwanzon... ila inaonyesha phindile na richard ndio waliosuka dili kwaajili ya kumtapeli xulu na mxo.... sma kaenda kumsalimu mk katika maongezi baina yake na sma mk akatambua kua zweli yupo mafichoni anatafutwa... kengele ya hatari ikagonga kichwani kwa mk akijua kua lazma atafuatwa na zweli na kweli ka alivyo fikiri ndivyo ilivyokua dili la zweli likaungua wakakutana uso kwa uso wakinyoosheana miguu ya kuku.
Mkuu wewe utachukua huyo kwanzia sasa maana yuko singo kwa kweli yule mama anajiweza juu chini xulu alifaidi sana.. Kingine ulichokipendea nimeshakijua mkuu sitasema. 😀😀😀😁😂😅
Mi huyu mama Malindi/Mangcobo namkuta ni bonge la maliiiii... ukinipa pisi kaliii kama sma mwenye rangi yake na yule village girl yaani they dont even make an ounce kwa lile limjimama. Nalitamani sana na macho yale na wigi lake... the expression her face makes sad/happy/excited/thinking/angry is so priceless sana
Halafu mkuu nakuona umeweka dp ya mzee Mafia Lincoln sibeko bila shaka umekumbuka drama zake huyu mzee 😀😀😁😂😅
Mi huyu mama Malindi/Mangcobo namkuta ni bonge la maliiiii... ukinipa pisi kaliii kama sma mwenye rangi yake na yule village girl yaani they dont even make an ounce kwa lile limjimama. Nalitamani sana na macho yale na wigi lake... the expression her face makes sad/happy/excited/thinking/angry is so priceless sana
mk bado yupo hospital... bado anapatiwa matibabu... sma kwenye mapenzi kaingia mzima mzima hivyo lazma awe zoba tuHuyu sma nae anamchoma kaka yake kisa mpenzi tu
Mk yuko mtaani sio baada ya kesi yake kuvunjwa?..
Richard na phindile kweli ni majambazi kwanini dhlomo asiyadake?
Mkuu wewe utachukua huyo kwanzia sasa maana yuko singo kwa kweli yule mama anajiweza juu chini xulu alifaidi sana.. Kingine ulichokipendea nimeshakijua mkuu sitasema. 😀😀😀
Mimi niko singo kwa sasa wamenivuruga hawa malaya wote nombu, sma, nosipho 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Halafu mkuu nakuona umeweka dp ya mzee Mafia Lincoln sibeko bila shaka umekumbuka drama zake huyu mzee 😀😀
Nina alikuwa akiskia sibeko anatetemeka sana, mzee huyu alikuwa anajua unyama na akili kubwa vile vile.Yeah man. Sibeko ni noma sana. Do you remember alivyokua anadeal na kina Zamdela na Barker? Or the stunt he pulled to win Lungi Biyera? daaah alikuwa mogul haswa. Sibeko Aende Hollywood basi😁
Ni tako mkuu, ni ile chura aka kibindankoi.. 😀😀Kiseme tu man😁😂😅 kama ni hela, suala la umariooo you are wrong. Nna pesa zangu ata kama hazitoshi kwenye glass yake ya wine, mimi ni mwanaume wa kiafrica haswa i provide for a woman i fall for. Lile jike is something else kwakweli, mimi iko penda sana ilo
Sma nae asilaumiwe unadhani kukojozwa mchezo nini?mk bado yupo hospital... bado anapatiwa matibabu... sma kwenye mapenzi kaingia mzima mzima hivyo lazma awe zoba tu
dhlomo bado yupo bize na kumtafta zweli na kesi yao ila ni swala la mda tu ngoja tuone
🙊🙈nomaaaa😅Sma nae asilaumiwe unadhani kukojozwa mchezo nini?
Kachagua mtinyama wa bwana mkontho tumuache jamani.🙊🙈nomaaaa😅
😅 dhlomo yule utazani alizaliwa kituoni sio kwa ubize ule kha!Kachagua mtinyama wa bwana mkontho tumuache jamani.
Sidhani hata Kama dhlomo huwa anakumbuka kugegedana 😀
Si ndo mumeo lakini vumilia tu😅 dhlomo yule utazani alizaliwa kituoni sio kwa ubize ule kha!
😅😅sawa mkuuSi ndo mumeo lakini vumilia tu