Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #21
That day sbu aliyoingia kanisani alipiga risasi hovyohovyo akisema die xulu die xulu na bahati mbaya akampiga sindi kwahiyo sindi amekufa lakini ukweli bado haujafahamika.vipi sindi kashatoboa ukweli?
😀😀😀😀haya ndio mambo sasaThat day sbu aliyoingia kanisani alipiga risasi hovyohovyo akisema die xulu die xulu na bahati mbaya akampiga sindi kwahiyo sindi amekufa lakini ukweli bado haujafahamika.
Mastermind kafukuzwa kazi na xulu na hii ni baada ya kumwambia bosi wake kwamba ni yeye ndiye aliyemsanua sbu[pale kwa sis d] kuwa wanajua yeye ni snitch.
Inspector dhlomo ameanza kumpeleleza tena xulu.
Hii haitakuwa ndefu Kama ilivyokuwa isidingo ilianza kulushwa 2015 na ina season 3 tu Kama si 4Levo za isidingo bado labda huko katikati.... Bado sana
Tangu ilo tukio hawajakutana inspector anajaribu kumpigia simu sbu lakini hampati.😀😀😀😀haya ndio mambo sasa
Lakini Why jamni sindi afe? Sasa ukweli utatoka wapi
Dhlomo hakumfokea sbu kweli?
Master kasababisha yote hayo
Yeah kashefukuzwa kazi Jamaa wivu ulikuwa unamsumbua Sana hata baada ya kujua kuwa jamaa ni Snitch.Master kasababisha yote
xulu kamaindi kinyama anamtafuta sbu vibaya mno.😀😀😀😀haya ndio mambo sasa
Lakini Why jamni sindi afe? Sasa ukweli utatoka wapi
Dhlomo hakumfokea sbu kweli?
Master kasababisha yote hayo
Sbu messed himself unamchokoza simba kweli?xulu kamaindi kinyama anamtafuta sbu vibaya mno.
Mke wa xulu naye kawaka si mchezo kila dakika anamuuliza mke wake Kama sbu kauliwa.
Ndio alivyo ni mtu asiyependa masikhara lakini some times mbona anatania vizuri na kucheka kidogoHivi huyu pastor muda wote huwa yuko kwenye mode ya kukasirika na huzuni bado sijamuelewa...kitu siyo cha kukunja sura lkn ataikunja hasa hahahaaaaa
Mchungaji amefedheheka lakini mke wake[Mama mchungaji] wakiwa wamebaki peke yao kanisani amemshauri mme wake kuchukua zile pesa kwaajili ya mazishi ya yule binti [sindi].
Inaonekana ndio staili yake ya uigizaji tu.Hivi huyu pastor muda wote huwa yuko kwenye mode ya kukasirika na huzuni bado sijamuelewa...kitu siyo cha kukunja sura lkn ataikunja hasa hahahaaaaa
Leo sikosi aiseeh Wale waliosema ni mbaya tutawaona tu mbeleMchungaji amefedheheka lakini mke wake[Mama mchungaji] wakiwa wamebaki peke yao kanisani amemshauri mme wake kuchukua zile pesa kwaajili ya mazishi ya yule binti [sindi].
Mxolisi Kama kawaida ugomvi na dingi yake haujaisha.
Ayanda yeye na mishe zake za U-DJ tu.
Mastermind baada ya kumwambia bosi wake [xulu] kuwa anajua alipo sbu sasa ameamu kwenda mastermind mwenyewe kumkamata Kama si kumuua lakini bahati mbaya baada ya mastermind kufika pale anayemkuta si sbu bali jamaa mwingine kabisa,akajalibu kupiga simu ya sbu lkn ikaiita mfukoni mwa jamaa.
Mwishoni inaonekana Kuna Jamaa mmoja mfungwa anapiga simu kutokea gerezani kwa kutumia simu ya gereza inaunganishwa Moja kwa Moja kuelekea kwa xulu,xulu akiwa kitandani anaipokea,Jamaa aongei dakika Moja mbele jamaa anakata simu.
Pastor alimaind Sana na zile pesa aliyezinyakua mikononi mwa xulu baada ya kuziweka ni mama mchungaji.Pastor alikuwa kamaind ata pale anavyopokea pesa za xulu alionekana
Sbu mhuni sana yule.Inawezekana sbu karudi jela
mimi pia hii arosto ya itv sio powaBinafsi najaribu kuitafuta mtandaoni ili niangalie yote lakini siipati kwa ukamilifu napata ki-episode kimoja kimoja tu.View attachment 1822720