Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

vipi sindi kashatoboa ukweli?
That day sbu aliyoingia kanisani alipiga risasi hovyohovyo akisema die xulu die xulu na bahati mbaya akampiga sindi kwahiyo sindi amekufa lakini ukweli bado haujafahamika.

Mastermind kafukuzwa kazi na xulu na hii ni baada ya kumwambia bosi wake kwamba ni yeye ndiye aliyemsanua sbu[pale kwa sis d] kuwa wanajua yeye ni snitch.

Inspector dhlomo ameanza kumpeleleza tena xulu.
 
😀😀😀😀haya ndio mambo sasa
Lakini Why jamni sindi afe? Sasa ukweli utatoka wapi
Dhlomo hakumfokea sbu kweli?
Master kasababisha yote hayo
 
Tangu ilo tukio hawajakutana inspector anajaribu kumpigia simu sbu lakini hampati.
Master kasababisha yote
Yeah kashefukuzwa kazi Jamaa wivu ulikuwa unamsumbua Sana hata baada ya kujua kuwa jamaa ni Snitch.
 
😀😀😀😀haya ndio mambo sasa
Lakini Why jamni sindi afe? Sasa ukweli utatoka wapi
Dhlomo hakumfokea sbu kweli?
Master kasababisha yote hayo
xulu kamaindi kinyama anamtafuta sbu vibaya mno.

Mke wa xulu naye kawaka si mchezo kila dakika anamuuliza mke wake Kama sbu kauliwa.
 
Sbu messed himself unamchokoza simba kweli?
Sipati picha siku ile pastor alivopata mhaho 😀
Mpka mke wa xulu nae kamaind dah sasa imagine sbu angempiga mxolisi mkuu?

Dhlomo nae anazidi kujichimbia shimo ikigundulika ndio alimtuma sbu akampeleleze xulu
 
dhlomo anamchukia sana xulu na kaapa atamfunga tu
Kimenuka mastermind kampata sbu acha tuone kamwambia xulu..
Sema xulu pale alivyoingia kutoa mchango wa msiba naona kaboa sana kafanya show off sana inaonekana pastor kamind.. Eti anauliza hii pesa ndo mchango?
"Lady kindly take your Rs5"
Xulu bwana
 
Hivi huyu pastor muda wote huwa yuko kwenye mode ya kukasirika na huzuni bado sijamuelewa...kitu siyo cha kukunja sura lkn ataikunja hasa hahahaaaaa
 
Ndio alivyo ni mtu asiyependa masikhara lakini some times mbona anatania vizuri na kucheka kidogo
Mbele ya familia muda wa utani anatania na some time siriaz,
Wanaume tunatakiwa tuwe hivi
Sema anakunja sana sura
 
Wakuu majukumu mengi leo nimeikosa leo tena mwenye update
Kool the gang , Jagiya
Mchungaji amefedheheka lakini mke wake[Mama mchungaji] wakiwa wamebaki peke yao kanisani amemshauri mme wake kuchukua zile pesa kwaajili ya mazishi ya yule binti [sindi].

Mxolisi Kama kawaida ugomvi na dingi yake haujaisha.

Ayanda yeye na mishe zake za U-DJ tu.

Mastermind baada ya kumwambia bosi wake [xulu] kuwa anajua alipo sbu sasa ameamu kwenda mastermind mwenyewe kumkamata Kama si kumuua lakini bahati mbaya baada ya mastermind kufika pale anayemkuta si sbu bali jamaa mwingine kabisa,akajalibu kupiga simu ya sbu lkn ikaiita mfukoni mwa jamaa.

Mwishoni inaonekana Kuna Jamaa mmoja mfungwa anapiga simu kutokea gerezani kwa kutumia simu ya gereza inaunganishwa Moja kwa Moja kuelekea kwa xulu,xulu akiwa kitandani anaipokea,Jamaa aongei dakika Moja mbele jamaa anakata simu.
 
Hivi huyu pastor muda wote huwa yuko kwenye mode ya kukasirika na huzuni bado sijamuelewa...kitu siyo cha kukunja sura lkn ataikunja hasa hahahaaaaa
Inaonekana ndio staili yake ya uigizaji tu.
 
Mchungaji amefedheheka lakini mke wake[Mama mchungaji] wakiwa wamebaki peke yao kanisani amemshauri mme wake kuchukua zile pesa kwaajili ya mazishi ya yule binti [sindi].

Mxolisi Kama kawaida ugomvi na dingi yake haujaisha.

Ayanda yeye na mishe zake za U-DJ tu.

Mastermind baada ya kumwambia bosi wake [xulu] kuwa anajua alipo sbu sasa ameamu kwenda mastermind mwenyewe kumkamata Kama si kumuua lakini bahati mbaya baada ya mastermind kufika pale anayemkuta si sbu bali jamaa mwingine kabisa,akajalibu kupiga simu ya sbu lkn ikaiita mfukoni mwa jamaa.

Mwishoni inaonekana Kuna Jamaa mmoja mfungwa anapiga simu kutokea gerezani kwa kutumia simu ya gereza inaunganishwa Moja kwa Moja kuelekea kwa xulu,xulu akiwa kitandani anaipokea,Jamaa aongei dakika Moja mbele jamaa anakata simu.
Leo sikosi aiseeh Wale waliosema ni mbaya tutawaona tu mbele
Pastor alikuwa kamaind ata pale anavyopokea pesa za xulu alionekana
Inawezekana sbu karudi jela
 
Mxolisi naye hovyo tu badala aenda zake jozi ila kabaki kurumbana na dingi yake tu.
 
Binafsi najaribu kuitafuta mtandaoni ili niangalie yote lakini siipati kwa ukamilifu napata ki-episode kimoja kimoja tu.
Screenshot_2021-06-18-14-36-02-88_4641ebc0df1485bf6b47ebd018b5ee76.jpg
 
Back
Top Bottom