Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Inapoelekea naona kama Ayanda na Nosipho watanyanduana bila kujua kama ni kaka na dada hapo ndipo Mangcobo ataumbuka kwa kuficha ukweli
 
Mbona walishanyaduana kitambo mkuu, sema tu siku wakijua ukweli ndo itabaki siri yao
Yah kipindi kile walikua wananyanduana kwenye ofisi ya kanisa kabla Nombuso hajafa,Ayanda alikua akizinguana na Nombuso,Nosipho anakuja kumpoza japokua walikua wanafanya kwa siri ila Inapoelekea watu watajua tu ndo itakua aibu kwa Mangcobo haha
 
wakuu leo nimeiwahi week lote mambo yalibana ,
nimeona zweli kaingia home kwa xulu anatafuta kile kitabu cheusi

halafu naona ishajulikana na xulu kuwa ayanda ni mwanae?
sema ninachoona zweli anajipoteza

mangcobo saivi kawa jinga sana
halafu yule mdada alieibiwaga gari na kina nosipho naona anadai hela kwa mabuza

nospho malaya ila.nyie walah simtaki
 
Si ndio demu wako
Ooh demu wangu hips don't lie
Haya endelea[emoji23]
 
Si ndio demu wako
Ooh demu wangu hips don't lie
Haya endelea[emoji23]
demu gani malaya malaya huyu hajui kukataa?
mbona na wewe tukamwambie malindi mumewe umemuweka kwapani?😂😂

niacheni na demu wangu😂😂
 
Si ndio demu wako
Ooh demu wangu hips don't lie
Haya endelea[emoji23]
Vera nimekupenda sana cause look like wivu wako is so feminine... i like that character in a girl i love. Kale ka Nospho cjawahi ku crush kabisa ila Sma ananitiaga majaribuni everytime hasa nikiona magoti yake dah ni so soft and pure🤩😋

Mke ya xulu ile pisi ni very hot alafu xulu anampenda mno. Ni vile imezingua big time inavyohandle issue ya vijana wale(DNA)

Pancholi, jembe letu Mabuza limekwisha au litachomoka mtego wa Dhlomo? Jamaa ni kichwa... chawa la faida kwa Xulu
 
Tanesco Jana wametukatili sana.Wamerudisha umeme Saa tano usiku!
 
Vera nimekupenda sana cause look like wivu wako is so feminine... i like that character in a girl i love. Kale ka Nospho cjawahi ku crush kabisa ila Sma ananitiaga majaribuni everytime hasa nikiona magoti yake dah ni so soft and pure[emoji2956][emoji39]

Mke ya xulu ile pisi ni very hot alafu xulu anampenda mno. Ni vile imezingua big time inavyohandle issue ya vijana wale(DNA)

Pancholi, jembe letu Mabuza limekwisha au litachomoka mtego wa Dhlomo? Jamaa ni kichwa... chawa la faida kwa Xulu
Jmn[emoji23]
 
Back
Top Bottom