Uzalo Special Thread

Mkuu mbona pisi zangu unazitaka?😀

Mabuza hawezi kwama kabisa naliamini jembe lile Just wait and see
 
Mkuu mbona pisi zangu unazitaka?😀

Mabuza hawezi kwama kabisa naliamini jembe lile Just wait and see

Ha ha ha!
Man, pisi zako kaa nazo tu🤣🤩 ni vile imebidi nimsifie yule Sma kidogo tuuu Papi! Mi nataka kupimana ubavu na monster himself Mr. Xulu over lile jimama lake so mniombeee😆😆😅

Jembe letu Mabuza ngoja tuone litafanya manuva gani kusave his own skin wakati limesharekodiwa na hadi captain kaona footage.

Xulu anapiga ngumi za kilo kilo hatar!
 
Nilicheka mabuza alipopanic baada ya kupigiwa simu na yule mwanamke anayedai hela
 
Juzi bana nikajikuta naangalia hiyo tamthilia..Kuna kiumbe chenye Rasta mule sijakielewa ni jinsia gani mwenzenu ..😂

Pastor🔥🔥
 
hivi ujue nilicheki episode ya jana tu hivi kuna sehemu zilipigwa ngumi?

Mkuu naona unatafuta kifo chako mwenyewe unataka tamu ya xulu?😁😁

Vera ginger kwahiyo mama xulu akidakwa hapa utakuwa umejinyakulia jimbo la bwana xulu 😁😁
 
Juzi bana nikajikuta naangalia hiyo tamthilia..Kuna kiumbe chenye Rasta mule sijakielewa ni jinsia gani mwenzenu ..😂

Pastor🔥🔥
mwengine huyu na pastor yupo singo ujue tushapata mama mchungaji hapa 😁😁
Kile kiumbe unavyokiona ndio hivyo hivyo 😁
 
Ayanda jaman kaenda kumuokoa zweli nyumban kwa ghabashe ameambulia doso
Next epsod sijui itakuwaje...
 
kwa mliocheki leo jamani any update?
Zweli alikamatwa?
 
eeeh kapigwa na nani mbona maelezo mafupi mywangu 😀
Kapigwa na ghabashe mxolis yaan wamemchangia mama ghabashe kwa unafiki anamtete nahsi next epsod wananchi watafanya vurugu home kwa ghabashe maana watakuwa na hasira na familia hyo
Zweli na nosipho watawekwa ndan
 
Pia namuona mama ghabashe kama yuko tayari kumkiri Ayanda maana naona anamtetea kwa nguvu nyingi.

Xulu alishasema atakwenda kummaliza Ayanda.
 
eeeh kapigwa na nani mbona maelezo mafupi mywangu [emoji3]
Mxo na zulu wamemchangia
Maana aliingia kwa kutaka kugombana baada ya yule baba kanisani kusema wife wake mimba imetoka
Ndio zweli nae akapata chance ya kutorokea dirishani
 
Hii tamthilia kwa usiku jumapili marudio yake yanaanza saa ngapi?
Nadhani ni leo usiku kuanzia mida ya saa 4 anza kufatilia kama bado unangoja 4.30,jipe nusu saa unakuwa unacheck km imeanza
 
Pia namuona mama ghabashe kama yuko tayari kumkiri Ayanda maana naona anamtetea kwa nguvu nyingi.

Xulu alishasema atakwenda kummaliza Ayanda.
Anaumia coz anajua ukweli sema ndio vile ashamzoea mxo
Fala kweli yule mwanamke
 
Mxo na zulu wamemchangia
Maana aliingia kwa kutaka kugombana baada ya yule baba kanisani kusema wife wake mimba imetoka
Ndio zweli nae akapata chance ya kutorokea dirishani
Yule jamaa walisema anaitwa sijui njorebe?.
Huyu mama fala sasa anatetea nini ikiwa na DNA papers alibadilisha?
Sasa hivi ndio anaumia yaani wanawake hamjui mnataka nini.

Na lile li nosipho ndio kabisaa. Hata sma mk akija tu anakitanua anampa dah 😁
 
Mxo na zulu wamemchangia
Maana aliingia kwa kutaka kugombana baada ya yule baba kanisani kusema wife wake mimba imetoka
Ndio zweli nae akapata chance ya kutorokea dirishani
Lakini na Zweli alimpelekea message Ayanda aje kumsaidia pale alipojificha ndani ya kabati akawa anashindwa kutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…