Uzalo Special Thread

Nkunzi amefanya mpango wa kumuokoa Mangcobo kutoka hospitali ya vichaa

Ametuma vijana wakachome moto ile hospitali na wakafanikiwa kuichoma na Mangcobo akatoroka

Baba mchungaji ambaye ndo mume wa manzuza amegundua kwamba manzuza ana mahusiano na bheki

Manzuza hampendi tena baba mchungaji na upendo wake wote upo kwa bheki


Manzuza kabeba mabegi yake kaondoka nyumbani kaenda kwa bheki ili wawe huru na mahusiano yao


Mangcobo ametoroka na kurudi nyumbani na anatafutwa na polisi

Nosipho alishauza nyumba


Mangcobo akamfuata Nosipho ili achukue hela alizopata baada ya kuuza nyumba ili watoroke wakaanze maisha mapya
 
Manzuza baada ya kuondoka nyumbani,baba mchungaji nae akaamua aende kwa mamlambo

Mamlambo akampa pole na kumwambia alale pale kwake mpaka kesho

Baada ya kulala pale wakaishia kunyanduana

Baba mchungaji akala tunda la mamlambo kimasihara [emoji28]


Asubuhi wakaamka na mahaba kama yote

Mamlambo akamwambia baba mchungaji kwamba alikua anampenda toka kitambo sema alishindwa kusema


Mangcobo akiwa anamsubiri nosipho amletee hela ili atoroke kwenda kuanza maisha mapya nosipho akaja na mkoba lakini haukua na hela


Nosipho aliwapanga polisi ili wamkamate Mangcobo


Baada ya dakika mbili polisi wakatokea na kumkamata Mangcobo


Nosipho kamuuza mama yake kwa polisi na akamwambia inabidi ulipe Dhambi ulizofanya nisamehe mama huku akilia


Mangcobo akamlaani sana nosipho kwa kumchoma na kumwambia usiniite tena mama yako Malaya wewe


Mangcobo akapakizwa kwenye gari la polisi


Nasubiri next week nione itakuaje

Its Pancho nana_
 
Mamlambo huwa nalikubali sana lile dada kwanza mdomo wake uwiii na msabwanda nyuma😃 aisee huwa nalitamani, sana
 
Mamlambo huwa nalikubali sana lile dada kwanza mdomo wake uwiii na msabwanda nyuma[emoji2] aisee huwa nalitamani, sana
Kumbe siko peke yangu[emoji28]Mamlambo yupo sexy sana lips denda bonge la msambwanda sema tu anavaaga magauni muda mwingi Ila angekua anavaa nguo za mitego kama Nosipho au sibahle[emoji119] si ingekua balaa[emoji28]
 
Kumbe siko peke yangu[emoji28]Mamlambo yupo sexy sana lips denda bonge la msambwanda sema tu anavaaga magauni muda mwingi Ila angekua anavaa nguo za mitego kama Nosipho au sibahle[emoji119] si ingekua balaa[emoji28]
Daah.
Kumbe sipo peke yangu, mamlambo ni moto, pastor kajilia dodo akaamka asubuhi akiwa mwepesiii🤣🤣.
 
Hivi xulu alipotelea wapi?
Na yule nkunzi na mangcobo walishakuwa na mahusiano?, Mwanzoni kuna vipande sikuangaliaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…