Manzuza baada ya kuondoka nyumbani,baba mchungaji nae akaamua aende kwa mamlambo
Mamlambo akampa pole na kumwambia alale pale kwake mpaka kesho
Baada ya kulala pale wakaishia kunyanduana
Baba mchungaji akala tunda la mamlambo kimasihara [emoji28]
Asubuhi wakaamka na mahaba kama yote
Mamlambo akamwambia baba mchungaji kwamba alikua anampenda toka kitambo sema alishindwa kusema
Mangcobo akiwa anamsubiri nosipho amletee hela ili atoroke kwenda kuanza maisha mapya nosipho akaja na mkoba lakini haukua na hela
Nosipho aliwapanga polisi ili wamkamate Mangcobo
Baada ya dakika mbili polisi wakatokea na kumkamata Mangcobo
Nosipho kamuuza mama yake kwa polisi na akamwambia inabidi ulipe Dhambi ulizofanya nisamehe mama huku akilia
Mangcobo akamlaani sana nosipho kwa kumchoma na kumwambia usiniite tena mama yako Malaya wewe
Mangcobo akapakizwa kwenye gari la polisi
Nasubiri next week nione itakuaje
Its Pancho nana_