Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Wakuu pastor anavuka line sasa.. Mahubiri gani Yale yamejaa vijembe, na umbea namna ile plus kusagiana kunguni?
Dhlomo is on fire hii case mxolisi itabidi awe mkweli, kumwambiya mzee wake jau maana anajua alivyo mtata,
Dhlomo atamwambia xulu nadhani,

Pastor sasa anatoka nje ya mahubiri yake kabisa fala huyu.
Ayanda naona anamsagia kunguni mxo akose pisi nombuso
Baharia ayanda kanifrahisha Sana Leo eti namuuliza nombuso mbona Kama aukuwa excited Sana au ulitegemea kumuona mxo ?
Daah ayanda kashamaindi mzigo nasubir kwa hamu ii vita Kati ya ayanda na mxolisi juu ya nombuso, guess who is going to take over nombuso?
 
Mxolisi ameamua aubebe uu msala kmya kmya Maana kumwambia ghabashe pesa yote ile imetapeliwa si Jambo dogo na ukizingatia ye ndo amemforce mzee wake wawekeze io pesa Daah Cjui itakuwaje
anatia huruma vilevile audhi we unaendaje tafuta mtu wa kulishughulikia jambo lako la pesa ndefu kwa kupitia rafiki...acha yamkute
 
To be honest nimeumia sana namna mxo na mama yake wanavyomfanyia xulu
Yaani mama licha ya kujua mwanae kafanya upumbavu katapeliwa lakini anaamua kumficha mumewe eti kisa atamuua mxo.
na limxo lilivyo jinga linataka likope tena pesa kwa gangwe mmoja xijui Mr X.. 😈😈
Pastor nae ushambenga umepitiliza sasa kaambiwa na dhlomo atulize munkari na kuacha kuchukua sheria mkononi lakini kakusanya watu kwenda huko site xulu alikovunja nyumba za wananchi
Naona wazi italeta maafa makubwa sana sababu ya upuuzi wa pastor..
Ayanda nae hachoki tu kumsagia kunguni mxo kwa nombuso.

Sema character ya mxo inaboa sanaaa na macho yake yale kama mjusi kabanwa na mlango 😈😈
 
pastor anaboa sasa jamani alipofikia ni wivuu unamwendesha naona kapata chance ya kurudisha machungu yake aliyokuwa nayo juu ya xulu
 
To be honest nimeumia sana namna mxo na mama yake wanavyomfanyia xulu
Yaani mama licha ya kujua mwanae kafanya upumbavu katapeliwa lakini anaamua kumficha mumewe eti kisa atamuua mxo.
na limxo lilivyo jinga linataka likope tena pesa kwa gangwe mmoja xijui Mr X.. [emoji48][emoji48]
Pastor nae ushambenga umepitiliza sasa kaambiwa na dhlomo atulize munkari na kuacha kuchukua sheria mkononi lakini kakusanya watu kwenda huko site xulu alikovunja nyumba za wananchi
Naona wazi italeta maafa makubwa sana sababu ya upuuzi wa pastor..
Ayanda nae hachoki tu kumsagia kunguni mxo kwa nombuso.

Sema character ya mxo inaboa sanaaa na macho yake yale kama mjusi kabanwa na mlango [emoji48][emoji48]
Hahhaa
Huyu ni damu ya pastor
Ayanda damu ya xulu
Ndio maana tabia hazijaendana na familia zao
 
Dah upo mkuu?
Yeah ni kweli na file lenye ukweli si ndio alikuwa nalo yule sindi (aliyekuwaga isidingo?)
Sasa sijui watajua lini jamani ili limxo limekaa kifala linamuingiza babake matatizon ndio maana ayanda kakaa kisela kama xulu ambaye ndio biological father..
Sasa sijuu itakuwaje nasubiri jumatatu..
 
Nipo
C unaona tabia tofauti na za kina xulu?
Na hivi anajiona anajua kila kitu
 
Huyu pastor anatafuta kwenda jela dadek yani anaandamana kweny private property na Watu wamefanya destruction kinoma uyu pastor ni kichwa panzi
Mkuu wangu eeeh
Nimefurahi sana aseeh, siku za pastor kula cha moto zimeanza sasa..
Ujue alipoambiwa na dhlomo akitulize akajifanya ana uchungu sana. Sasa hii ni kesi kubwa kuvamia kwa mtu na kuharibu mali, mbaya zaidi Wale wote waliokuwa wanamsapoti wamekimbia,
Even mkewe kamchana makavu laivu,nimependa majibu yake kwa mumewe, habari imetrend na soon inaonekana waumini hawatomuamini tena,
mbaya zaidi hata dhlomo kamkimbia aseeh anatia huruma sana.
Xulu lilikuwa linakuja kumfumua pastor bila police kumuwahi kumshika,
Mxolisi kichwa panzi eti akataka akimbie.! Akati kayatengeneza mwenyewe Na mama yake kamsaidia acha tuone watampata Richard.

Ayanda na mxo watakuja kutoana roho ila ayanda tamaa imepitiliza. 🙏🙏
 
Wakuu tunazidi kusonga mbelee
Wale waliosema sijui ni mbaya mara production mbovu haya naona wanaview kimya kimya 😀😀

Naona uzalo yetu hii ni zaidi ya isidingo japokuwa isidingo ilikuwa zaidi ya sisi kuipenda, ila ilikuwa mara nyingi wanashutia indoor tu tofauti na uzalo
Scene hii ya leo ya maandamano ni moja ya scene bora zaidi. Jinsi mapoti walivokuwa wanakamata wahuni, ni zaidi ya msako 🙌🏾🙌🏾
 
Mkuu wangu eeeh
Nimefurahi sana aseeh, siku za pastor kula cha moto zimeanza sasa..
Ujue alipoambiwa na dhlomo akitulize akajifanya ana uchungu sana. Sasa hii ni kesi kubwa kuvamia kwa mtu na kuharibu mali, mbaya zaidi Wale wote waliokuwa wanamsapoti wamekimbia,
Even mkewe kamchana makavu laivu,nimependa majibu yake kwa mumewe, habari imetrend na soon inaonekana waumini hawatomuamini tena,
mbaya zaidi hata dhlomo kamkimbia aseeh anatia huruma sana.
Xulu lilikuwa linakuja kumfumua pastor bila police kumuwahi kumshika,
Mxolisi kichwa panzi eti akataka akimbie.! Akati kayatengeneza mwenyewe Na mama yake kamsaidia acha tuone watampata Richard.

Ayanda na mxo watakuja kutoana roho ila ayanda tamaa imepitiliza. 🙏🙏
Pastor anapata kile anacho stahili

Ayanda na yeye kaamua kabisa kumfukuzia Numbuso mazima
 
Mrs xulu naye mafia kama mumewe
Sijui itakuwaje Richard akipatikana
 
Leo Baba yake Mxolisi amejua ameambiwa na Afande mnoko Mabuza alichomfanya mwanae kambeba kwenye Buti la gari akimsindikiza na kichapo tunasubir tujue nini kitaendelea...pastor ametoka lakini Ayanda still ameshikilia bendera akitaka penzi la Nombuso ni kama kamla denda lakini si unajua ITV kukatisha
 
Nombuso anampenda Ayanda sema anahofu na wazazi kuwa wamekaribisha hlf aanzishe uhusiano wa mapenzi
 
Back
Top Bottom