Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Leo Baba yake Mxolisi amejua ameambiwa na Afande mnoko Mabuza alichomfanya mwanae kambeba kwenye Buti la gari akimsindikiza na kichapo tunasubir tujue nini kitaendelea...pastor ametoka lakini Ayanda still ameshikilia bendera akitaka penzi la Nombuso ni kama kamla denda lakini si unajua ITV kukatisha
Dah pamoja Sana mkuu mxo acha akione cha mtema kuni babeki zake
Ayanda kamla denda nombu tena?
 
Xulu mafia kabisa
Sijui itakuwaje kesho,na wamekomba pesa zingine wakaanze maisha,hlf mafia kawakuta hawajasepa
 
Wakuu
Mxolisi anapitia magumu sanaa yaani leo bado kidogo akamatwe..
 
Sbu muhuni sana kala kona
Naona sasa mama xulu akili imeanza kumkaa vizuri, xulu kawakomesha kweli na mxo..
 
Back
Top Bottom