Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Leo ndo nime-confirm sex ya GC yule mwenye dread pale saloon😀😁😂🤣 cause nilikua simuelewi kabisa ni jinsia gani. GC Anavyojiweka mwanzoni nilijilazimu kuwa ni mwanamke ila sasa yale macho na miguu yake vinanichoshaga kinoma... ndipo leo wameongelea khs boyfriend wake GC wa Joburg alafu wanatumia" he/his" kumuadress uyo rasta ndo nikajua kumbe yule ni one man down😂😅 whats bad ni rasta alipokua anamzihaki fulani kwamba hes not straight huku anashusha kiganja kama kukidondosha ivi utafikiri he rasta himself is a saint
 
Ha ha ha quote that "MKUDA"😅😅 kwa kweli Dhlomo is a bad ass atleast ange-strike deal na Zweli/kumu-assure. basi nimemchukia kama nini.
Zweli ameharibu kuacha feelings to get the best of him akageuka snitch ame-lag sana.., It was business not personal the biz that used to put food to his people's table as well. I stand with Xulu in contrast to Zweli and Ayanda. Yule ayanda kumbe ni selfish kaniudhi sana alivyomfanyia Zweli. Ayanda is a scoundrel bora alivyochezea vitasa vya
xulu kiazi yule😅😄
huyu pimbi ayanda anataka amuangushe xulu ili jamii imuone shujaa pia alipize kisasi cha baba yake hajui wala kujali kuhusu effect atakazopata zweli kumsnitch bosi wake.

Mbaya zaidi dhlomo mkuda mwenyewe anamtafutiaga angle zweli sasa kajileta mwenyewe kabisa
Sioni maisha marefu kwa zweli...

Huyu dhlomo ukuda wake ndio maana umaskini haumuishi
 
mficha maradhi kifo humuumbua ndio yanayoenda kumuumbua mama xulu.
ayanda nae nataka kuona huo moto wake utakapoenda kuzimikia
 
huyu pimbi ayanda anataka amuangushe xulu ili jamii imuone shujaa pia alipize kisasi cha baba yake hajui wala kujali kuhusu effect atakazopata zweli kumsnitch bosi wake.

Mbaya zaidi dhlomo mkuda mwenyewe anamtafutiaga angle zweli sasa kajileta mwenyewe kabisa
Sioni maisha marefu kwa zweli...

Huyu dhlomo ukuda wake ndio maana umaskini haumuishi
Nakuzoom tu.... 🧐
 
Ayanda pimbi shaaana!😅😅😅

Masikini huwaga ni wakuda wakuder wakudest!😄 eti analiambia lizee la pipi ya bigbom kwamba kuna mtaalamu kawekwa kuchunguza mali zake.... alafu mabuza kule selo kashapewa black eye😅
 
Wanawake ni nyoka sana kama xulu anavyodai
Dhlomo mkuda sana kashampoteza kijana wa watu zweli
Nae zweli hakutumia akili ona sasa anaenda jela jenzie ayanda linataka hadi kuingia kwenye siasa.

Ayanda na dhlomo jau sana mimi naona xulu abaki na mxo tu japo kajua leo sio mwanae tena ila ayanda mnoko sana hafai
 
uyo mxo kwanza toto la mama madeko mengi akili za mdleche.. hana maajabu.
japo ayanda mkaidi lakini akili anayo hana madeko kama uyo mwingine
xulu alikosea sana kumwamini mkewe kipindi kile akaingia mtegoni.......ndio ivyo lakini mliambiwa ishini nao kwa akili😀
 
Kweli ayanda ana akili sana anajua kujiongeza sema siku hizi ameanza kufuata akili za baba yake mlezi mdletshe.
Xulu ni kama mbongo yaani akikasirika anatema hadi mate
 
kweli pale alipoanzisha iko kikosi chake ndipo alipo aribu
yaani xulu noma sana sjui akirudi home itakuaje
 
hivi hakuna mwenye season one na two maana hizi nusunusu zinaniacha tu na hamu[emoji23]
 
Back
Top Bottom