Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

kafanyaje...
Asubuhi
Nosi akiwa kitandani anaamshwa na Amos kwa mahaba na kuletewa msosi anafurahi

Mangcobo akiwa na zakethelo sebleni anasema alimuona na mxo kule barabaran wanatembea kama wapo Valentine day..
Zekethelo anajibu kuwa kweli yeye na mxo ni marafiki ila mxo ni msiri sana hataki kuelezea mambo yake sana.
Kisha anamuuliza mangcobo vipi kuhusu watoto wako uliosemaga?

Mangcobo anashikwa kama na kiwasiwasi kisha anamwambia zekethelo kuna anataka amwambie kuhusu mxo..

Mondil akiwa ofisini anakuja captain anamuuliza mondil kafikia wapi kuhusu ule uvamizi ulifanyika na kulipua ATM?

Jamaa anajibu kuwa sasa ndio anaenda huko kuchkua CCTV footage kwa mlinzi wa hiyo ATM kwani alishamuhoji. Captain anafurahi kisha anamuhimiza mondil awahi chap jamaa anasepa.

Zweli akiwa ofisini na nkunzi pamoja na sbu anawapa chao baada ya kufanya uvamizi ule lakini anamsema SBU kuwa bora amtunzie pesa sababu SBU atafanya ujinga wa kwenda kula bats na itakuwa easy kwao kudakwa SBU anakaza kuwa hatofanya show off atalay low a bit.

Ksha anaanza kujisfia kuwa wao ni mafundi na sasa wataenda kulipua mall, zweli anampinaa SBU vikali kwamba watalipuaje mall? Nkunzi anamsapti zweli na kumwambia SBU amuige zweli.

Wanakubaliana kuwa watulie kidogo wasilipue tena na pesa hizi wasitumie kwa sasa.

Nosi akiwa na Amos kwenye sofa wamelaliana jamaa anamuonesha nosi picha ya binamu zake kwenye simu (vitoto) kisha jamaa anadai kuwa anawapenda sana na huwa anawanunulia begi zima LA toy,
Nosi anamuuliza Mara ya mwisho lini uliwaona? Jamaa anajibu ni December hii.

Kisha Amos anamuuliza nosi kuhusu familia yake, nosi anapatwa na kiwewe anasema kuwa baba yake jela amemkana na mama yake amtaki hata kumsikia.
Amos anauliza tena kama nosi amewahi kupata mimba, nosi anajibu ndio lakini aliita kwani mwenye mimba hakuwa serious..

Amos anauliza kama nosi yupo tayari kubeba mtoto wake (wa amos) nosi anakubali kisha wanapiga story zingine

Sma akiwa saloon kina GC wanasema ni vyema sma amfanyie farewell party kumuaga buhle kwani ataenda cape town sababu amemtunzia mtoto

Kule njiani anaonekana SBU akiwa na ndinga mpya halafu kapakia mademu wawili wanakula wine huku wanavimba Juu ya gari la wazi na yeye anaendesha afu katoka chicha anaelekea mpaka kwa nkunzi garage anawakuta zweli na nkunzi wanapiga kazi
Anaanza tambo kuwatambia wale washikaji kuwa watachafua gari pia wasimshike mikono,
Nkunzi anamfata SBU na kumuwasha makofi na kumwambia apotee fasta hapo na aache ujinga kwani atawachomesha.. SBU anaomba msamaha anasepa kinyonge.

Mxo akiwa park na zeze (zekethelo) demu anamwambia jamaa kuwa mangcobo ameshamwambia everything kuhusu yeye na anajua kuwa mxo alilelewa na mangcobo ila anasema anamuamini mxo kisha wanapigana mate pale..

SBU anaenda shisanyama na kumkuta nkunzi anapiga mahesabu kisha anasema kuna kitu kaona nkunzi anasema kiteme tu hapa haina haja ya kuvunga.

SBU anafunguka kuwa kawaona zekethelo na mxo wanapigana mate kule park kisha nkunzi anauma meno kwa hasira...
Jagiya nakumbuka hii jumanne na tano
 
Safi sanaa kijana kumbukumbu zako zipo vizuri👏
Aseh Sbu ni kichwa panzi wa mwisho.....
sma nae ndio ameamua kumng'ang'ania mtoto wa watu kabisaaa?
Vipi kuhusu couple ya mondli na nosi iliishia wapi?
Yaan familia ya mangcobo imetawanyika vibaya atari
 
Aseh Sbu ni kichwa panzi wa mwisho..... na sma nae ndio ameamua kumng'ang'ania mtoto wa watu kabisaaa?
Vipi kuhusu couple ya mondli na nosi iliishia wapi?
Yaan familia ya mangcobo imetawanyika vibaya atari
Nosi alishamchana mondil kuwa amtaki kabisa hata salam njiani alikuwa anajibu kijeuri jamaa akakata tamaa.

SBU atawachomesha huyu.
Sma ana roho mbaya nyieee shetani akasome madem zangu wote vichwa panzi dash
Ila mamlahmbo alimfata tena sma akampa onyo yatamtokea puani anasepa afu buhle aliona card la mtoto

Siku nyingine sma alikuta buhle hayupo na mtoto anaenda mpaka polisi eti buhle kamteka mtoto,
Uzuri buhle alimleta kumbe alimpeleka hospital dash sma akaanza kufoka vibaya ,yaani iliniuma sana

Mangcobo ndo ivo kajitahidi kila njia mwanae nosi ndio amtaki sio.yeye (mangcobo)
 
Anhaa ila sma nishamchoka anaroho ya ajabu mnoo
Mangcobo me nadhani nia yake pale ni kurudish ile nyumba mikononi mwake maana nae yule sio boya
 
Hampendi nkunzi anataka mali zake zirudi tu basi kumbuka naye born town huyo
Nataka sma ale cha moto kidogo kama nosi
 
Back
Top Bottom