Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

Hay endeleaa
 
Asante mkuu endelea kushusha vtu achana na wababaishaji
 
hadithi njoo ,owongo njoo,utamu kolea
hii ni movie tusome kufurahisha akili
 
By the way amejitahidi sana kutunga story but very impressive kuna vitu vichache vimeifanya ikose uhalisia lakini ni utunzi mzuri wa kusisimua kwa jinsi alivyopanga wahusika but too much killing kwa watu wa usalama
 
Habari za Jioni ndugu zangu.....!
Asanteni kwa kuwa pamoja nami katika kusoma simulizi hii ya "SAFARI YA KUZAMIA AFRIKA YA KUSINI KWA NJIA YA PANYA".Nipende kusema Kutokana na Majukumu yaliyo mbele yangu Sitopata muda wa Kushare na nyie Mwendelezo kila siku kama awali,hivyo nimeona ni vyema Nikawapa Nakala kamili yenye Hadithi hii mwanzo mpaka Mwisho ili kila mtu aweze kusoma yote na kuburudika mpaka mwisho bila kuishia njiani......
NOTE:Hadithi hii sio yangu ni kitabu kilichoandikwa na Mtunzi Thomas Simkanga.........Asanteni.View attachment safari_ya_kuzamia_afrika_ya_kusini_kwa_njia_za_panya_04092020_03_54 (1).pdf
 
hii atachment haifunguki tupen ilio kamil il tujpakulie tupunguze ku scrol na kukosoa kwenye coment
 
Nimetuma link hio hapo chini mkuu
 
Huu uzi unatuhusu sana watoto enzi hizo tuliyokulia kinondoni
Wazee wa kucross border kipindi hicho

Ova
 
Nimesoma Hii story mpaka mwisho....Niseme tu neno Moja Hili ni bonge la Riwaya nzuri na ya kusisimua hata itimisho lake limeisha murua kabisa.....

Jamaa alipata 85m kwa njia za ushirikina na zikapukutika kima ajabu ndani ya wiki mbili...

Ali laaniwa na mganga KUA hatotusua Tena maishani mwake kamwe ila mganga ali pruviwa wrong...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…