Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

Kabisa, pale kwenye ajali polisi wote wakafa halafu wao wakatoka salama tayari nikaona hapa hakuna kitu, nikakosa na interest ya kuendelea kusoma. Mwamba alipotoa link ya kitabu sikutataka hata kuendelea kusoma.
Eti kule Lusaka alikuwa na begi lake katoa wapi? Je hawakupigwa pingu wakati wako kwenye Gari?
 
Kabisa, pale kwenye ajali polisi wote wakafa halafu wao wakatoka salama tayari nikaona hapa hakuna kitu, nikakosa na interest ya kuendelea kusoma. Mwamba alipotoa link ya kitabu sikutataka hata kuendelea kusoma.
Kote alienda vizuri hapo kwenye ajari ndo kaharibu, na pale kwenye Gari imeharibika eti kulikuwa na gazeti lenye habari na Wale wenye lori wakawatambua kwamba wanatafutwa then wakawabeba hadi Lusaka, Hakuna mwenye akili timamu ata risk kiwango hicho cha kubeba wauaji,
 
Usisome kwani umelazimishwa?wengine tunajirefresh mind iwe kweli au uongo mnakera sana mkuu ukiona Chai usisome unaendelea na Uzi mwingine uzuri nyuzi ziko makumi elfu...ni Wewe tu

Hayo ni maoni yangu kwamba ni chai, naamini sijavunja sheria za JF wala za nchi kwa kutoa maoni hayo.

Pole kama nimekukwaza mkuu.
 
Japo attachment ya kitabu imewekwa nitakomaa na mleta uzi hadi mwisho. Issue hapa ni integrity na utayari wa kumaliza lile ulilokua umeanza sio upumbavu wa kuishia njiani na kuringa ringa mpaka kubembelezwa.

Mzee shusha mawe source ya story hatujali
 
Ata Kama Ni kitabu ndio tisisime na kurefesh mind mm mbnq huwa nasima kitabu Cha lerionka is it possible[emoji1292]
 
Mkuu naona umeamua Kudandia gari kwa mbele kama Hii stori ulikua nayo kwanini usiitoe siku zote mpaka mimi Nimeaza kuiposti wewe ndo unajifanya Kuingilia......Acha utoto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo unachelewa kutuwekea mwendelezo, wacha wengine wakusaidie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu naona umeamua Kudandia gari kwa mbele kama Hii stori ulikua nayo kwanini usiitoe siku zote mpaka mimi Nimeaza kuiposti wewe ndo unajifanya Kuingilia......Acha utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…