Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

Tafadhali sana mambo ya kutuacha njia panda sio mazuri kabisa
 
konda msafi ,wewe ni mtu mzima tayari, jaribu kupunguza utoto, naona siku hizi umejivika cheo cha utambuzi whether story fulani ni kweli au sio kweli ,wewe ndio umekua hakimu

By the way story yako ulishaileta, imesomwa ikaisha, kaa pembeni, tulisoma story yako mpaka mwisho, hata ilipo onesha kuwa na makando kando, wengine sisi tunataka burudani.
Halafu hata kama ametunga lakini inatufurahisha tulio wengi, wewe ni nani hadi uje uanze kutoa shambo.

Kuna watu humu wameshaleta visa vya kweli ,story kali za kusisimua, kuliko hata hako ka story kako.Wakina Analyse,kigayoko, yule alieandika how I I met my wife, na nyingine nyingi za kutafuta utajiri kwa njia za kishirikina.

Lakini huwezi wakuta waki tangatanga kwenye story za watu kuziharibu, wewe sio mtanzania wa kwanza au wa mwisho kufika south,watu bado wanaendelea kwenda.

Unaudhi sana asee, kaa kwa kutulia, acha tupate buruani hayo mengine ya story ni kweli au sio kweli tumuachie mtoa mada,.au roho kama inakuuma jaribu kuomba kazi ya umoderator uwe unazifuta juu kwa juu.
 
Ngoj tumfuatilie mkuu tuone
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo unachelewa kutuwekea mwendelezo, wacha wengine wakusaidie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huenda akawa yupo sahihi,

Lakini kuingilia Uzi ambao mtu mwingine sio busara,

Nadhani angeanzisha thread yake ingekuwa poa zaidi

Sasa kama hapa haoni mwanzisha Uzi anapata ugumu kuendelea?
 
Sababu NI COPY AND PASTE.
Mkuu naona umeamua Kudandia gari kwa mbele kama Hii stori ulikua nayo kwanini usiitoe siku zote mpaka mimi Nimeaza kuiposti wewe ndo unajifanya Kuingilia......Acha utoto.
 
Kama NI story ya kucopy INATAKIWA mwandishi atoe angalizo mapema.
Huenda akawa yupo sahihi,

Lakini kuingilia Uzi ambao mtu mwingine sio busara,

Nadhani angeanzisha thread yake ingekuwa poa zaidi

Sasa kama hapa haoni mwanzisha Uzi anapata ugumu kuendelea?
 
Mkuu punguza ujinga basi. Kuna mdau kaweka link ya kitabu ya stori nzima. Na watu wanaosema japo stori ni copy and paste ni fake sio mimi. Usiniletee stress zako hapa. Kama ni stori imeshawekwa yote hapa, hauna hata haja ya kumsubiria mleta stori aweke vipande vipande unless hujaiona ile link ya mdau.
 
Mkuu naona umeamua Kudandia gari kwa mbele kama Hii stori ulikua nayo kwanini usiitoe siku zote mpaka mimi Nimeaza kuiposti wewe ndo unajifanya Kuingilia......Acha utoto.
Wew ni mpumbavu kwaiyo ulitaka tukuabudu kwa ajili ya ctory ambayo cio yako tena km ungekua na akili ungepotea mazima mbweha asiyekua na mkia wee.
 
Huyo ni mtu mmoja tu anacheza na akili za watu. Amini. Kwa wale wanaojua kusoma between the lines wanaweza kugundua kabisa maelezo yanashabihiana sana. Msidanganyike.
 
Wew ni mpumbavu kwaiyo ulitaka tukuabudu kwa ajili ya ctory ambayo cio yako tena km ungekua na akili ungepotea mazima mbweha asiyekua na mkia wee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla ya kusoma nilitaduta neno itaendelea na nikalilita
 
1. Kwenye Gari hamkupigwa pingu wakati mnasafirishwa?

2. Begi ulitoa wapi? Ulinunua jingine Lusaka? Kwani wakati mnaenda kumwaga mtondoo mlienda na mabegi yenu?
Hizi ni hadith mzee uongo kama wote, vipo vingi vya kutilia shaka lakini unaacha usome ili ujiburudishe tuu.
 
Hii story ni ya kusadikika maana kwa Mara ya kwanza walivyokamatwa wakiwa watatu,kutoka kwao walitoroka walivyoenda kumwaga kinyesi msituni,sasa huyu jamaa alivyofika kwa mzungu akapewa kazi mashambani anadai kabakiwa na laki 400,000/=hizi hela katoa wapi wakati unapoingia mahabusu unakabidhi Kila kitu na yeye alitoroka wakati wa kutoka.
 
Kabisa, pale kwenye ajali polisi wote wakafa halafu wao wakatoka salama tayari nikaona hapa hakuna kitu, nikakosa na interest ya kuendelea kusoma. Mwamba alipotoa link ya kitabu sikutataka hata kuendelea kusoma.
Punguza ujinga na kejeli kwenye story za watu unaboa, ujuaji mwingi haufai, hatakama za kutunga wengine zinatuburudisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…