Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Ni kweli,kwanza Wanyakyusa wa Kyela na Tukuyu wanatofautiana katika mambo mengi sana ,upande mmoja wapo wanaojisikia wajuaji sana wasiotulia katika mahusiano/ndoa pia.Hata 'akikubonola ' hutakiwi kumuangalia angalia hovyo, kiti alichokalia usikae. Halafu wanyakyusa wa Tukuyu ndiyo wanafuatisha sana hayo mambo kwa Kyela sijaona wakifuatilia sana.