Uzao wa mapacha katika jamii ya Wanyakyusa

Hata 'akikubonola ' hutakiwi kumuangalia angalia hovyo, kiti alichokalia usikae. Halafu wanyakyusa wa Tukuyu ndiyo wanafuatisha sana hayo mambo kwa Kyela sijaona wakifuatilia sana.
Ni kweli,kwanza Wanyakyusa wa Kyela na Tukuyu wanatofautiana katika mambo mengi sana ,upande mmoja wapo wanaojisikia wajuaji sana wasiotulia katika mahusiano/ndoa pia.
 
Wanyakyusa na wandali tofauti ni nini????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…