Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
- Thread starter
- #21
We ni illiterate namba moja kabisa, yaani wakati veterans wa vita vya iraq na afghanistan sasa hivi wanaungana huko marekani wanaita press wanaongea ukweli na kuzitupa medani walizotunikiwa bado we lofa hapa Tanzania unapinga tu,Story za Abunuwasi huwaga zinatoa elimu gani?
Wakati wazazi wanaungana na kuandamana wanaongea mambo yote hadharani jinsi hali ilivyo mbaya marekani, kwenye mashule watoto wanapigwa risasi ovyo na wanadai pesa za umma zinatapanywa ovyo vitani, baada ya lile fungu nono kuahidiwa kwa Ukraine hivi karibuni , wewe bado unabisha ?!!!
Wakati watu sasa hivi wanafanya vurugu kwenye mikutano ya magavonor mbele ya kamera na polisi, wanadai wanasiasa wakatatue kwanza tatizo la vita ukraine, watafute amani na Putin maana wao kama raia hawataki nuclear war , tena raia wamechoshwa na vita vinavyopiganwa bila sababu halisi ila kwa uongo wa viongozi tu, wewe bado unabisha,?!!
Wakati juzi rais wa Taiwan alipotua New York watu wameandamana mbele yake na mbele ya vyombo vya usalama wakitamka wazi ondoka nchini mwetu hatukutaki , hatutaki vita na China , wewe lofa uliyeshiba ugali bamia bado unabisha ?!!!
Wakati juzi kati walipmuimpeach Donald Trump na kuahidi kumkamata , alisema marekani itaingia katika civil unrest iwapo atakamatwa, je unajua kwanini wanamuandama Trump lofa wewe ? Trump ndio anaewstajaga hao freemason wanaotawala marekani na anawaita ," the evil deep state", na ni Trump peke yake ndie kiongozi wa marekani aliyebaki anaemtaja YESU katika mikutano yake na saa nyingine wanaimba tenzi za rohoni( hymns) kwenye mikutano ya trump, unadhani wachawi waliopo madarakani wanamuonaje , si kama nyie majini mlivyokuwa mnamuona Magu hapa,
We lofa na majini wenzio ni washamba tu , hamjui lolote na msidanganye wanadamu hapa, mnaowaona kama ng'ombe wa kutafuna tu, kama vitoweo, panya nyie.