Uzazi wa Mpango na Malezi

Uzazi wa Mpango na Malezi

Mahanila

New Member
Joined
May 6, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Hello

Habari ya uzima na poleni kwa majukumu ya hapa pale. Naombeni kujua jambo kuhusu uzazi nk.

Mwanamke akitoka kujifungua kwa operation, baada ya siku arobaini, je, akikutana na mumewe Inanasa nyingine au mpaka atumie kinga? Wakati huo yuko na zaidi ya siku 56+, na uchafu (damu - mabonge) unatoka ingawaje sio kila siku baada ya siku 2 au 3.🫶🫡🫶
 
Mahanila!!!Embu Kuwa na Adabuu!!
 
Back
Top Bottom