We mwenyewe ukizaa watoto wengi kuwasomesha na kuwatibu unashindwa,watoto watashindwa kupata malezi boraAcha ushamba
Watu Ni mtaji mkuu
Watu Ni nguvu Kazi ya taifa
Watu Ni jeshi la taifa
Watu Ni soko la ndani
Hakuna mtu atakubabaisha pa kuuza bidhaa yako, utauza soko la ndani maisha yataenda.
Acha ushamba
Watu Ni mtaji mkuu
Watu Ni nguvu Kazi ya taifa
Watu Ni jeshi la taifa
Watu Ni soko la ndani
Hakuna mtu atakubabaisha pa kuuza bidhaa yako, utauza soko la ndani maisha yataenda.
Jukumu la kusomeshaWe mwenyewe ukizaa watoto wengi kuwasomesha na kuwatibu unashindwa,watoto watashindwa kupata malezi bora
Nani kakudanganya,We mwenyewe ukizaa watoto wengi kuwasomesha na kuwatibu unashindwa,watoto watashindwa kupata malezi bora
Unawatesa bureeeNani kakudanganya,
Kwasasa Ninao watoto 5 at 42yrs
Nikiwa hai na Nguvu zipo hata 24 nazaa
Sent using JamiiForums mobile app
Mvulana ni Mvulana tu, mara ngapi Ke huzalishwa Mtoto mmoja tu na Mvulana na kutelekezwa akiwa single mother?We mwenyewe ukizaa watoto wengi kuwasomesha na kuwatibu unashindwa,watoto watashindwa kupata malezi bora
AMINA [emoji120]Nina watoto wa tatu ila mke wangu lazima afyatue 7
Single Mothers, single Fathers na utandawazi umetufikisha hapa kwa kupata kizazi cha ajabu namna hii.Mara kataa ndoa sasa watoto tena
Na akupe shikamoo, usisahau huyo ni Mvulana Chifu [emoji1666][emoji2]Nani kakudanganya,
Kwasasa Ninao watoto 5 at 42yrs
Nikiwa hai na Nguvu zipo hata 24 nazaa
Sent using JamiiForums mobile app