Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Habari ya weekend wanajukwaa,
Napenda kuwauliza: Hivi kama unataka kuwa na idadi fulani ya watoto let say watatu/nne, ipi ni njia nzuri kuitumia baada ya kutimiza idadi hiyo ambayo itakuwa haina madhara kwa mke/mume? Ukizingitia ndo mwisho wa kuendelea kuzaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani nahitaji mnisaidie hii sina utafiti wa kisayansi kuhusu hili nitakalo eleza leo ila kupitia jamaa wengine Na mm mwenyewe ni muhanga wa hili.
Mara nyingi watumiaji wadawa hizi wamekuwa wakipata maudhi madogomadogo kama wanavyoita wenyewe wataalam,haswa wanapokaribia kupata siku zao,baadhi huumwa sana lakini wakienda hosp hakuna lolote badae unazoea ikifika unachukua pain kila unatuliza,sasa nimefanya utafiti usio rasmi wababa wengi siku hizi wanaugua na wakienda hosp hakuna kitu anaishiwa kuambiwa kunywa maji mengi pumzika,mm pia hunipata hali hii haswa ninapo muingilia mke wangu,utajikuta asubuhi mwili unauma sana, yaani kunakuwa nakuumwa mwili kusikojulikana hivi!lakini shughuri zinaendelea kama kawaida,nilipo wauliza rafiki wakaribu nao wanazipata,na nikiwa nje na mke wangu hivi vitu huwa sivisikii kabisa!madaktari tusaidieni kama kuna uhusiano wowote katika hili!
 
Ngoja waje mkuu
ila nilikuPM jaribu kuchungulia.
 
Wakuu habari thogh mimi ni mwanamume lakini nimeona niulize hili swali ni njia ipi ni salama isiokuwa na madhara mengi iko average to any person(mwanamke)anawezakuitumia katika uzazi wa mpango?
 
Na mimi ni mwanaume na nakujibu njia isiyo na chembe la madhara ni kutumia kalenda. Wengi wanaikimbia maana mwanzo inahitaji uelewa la sivyo chaka.. Uzuri skuiz kuna hadi apps za kukusaidia..
Mkuuu hiyo application unaitumiaje? naeza kuipata wapi?
Tatizo si unajua siku za hawa wenzetu hubadilikabadilika kufuatana na mazingira?
 
Unadoo siku ya kupata mtoto basi, huhitaji mambo ya mpango sijui nini....we kazana tu unapotaka kid kwishaaaa siku zingine zoote kaa kama bachela.Kwani sex si iliweka ili kuzaa..
 
Mkuuu hiyo application unaitumiaje? naeza kuipata wapi?
Tatizo si unajua siku za hawa wenzetu hubadilikabadilika kufuatana na mazingira?
Zipo nyingi mno playstore ukisearch.. Ishu ni kuwa huku mwanzo ni lazima uwe makini na kuweka data sahihi za kila anapoanza mzunguko.. Baada ya kama miez mi 3 au 4 hivi utaona inaanza kujileta yenyewe, hata kama mizunguko inabadilika badilika bado inasaidia sana tu..kadri mda unavyokwenda na zenyewe ndo zinakuwa more accurate kutokana na start na finish date za kila mzunguko..
 
Wakuu habari.
Thogh mimi ni mwanamume lakini nimeona niulize hili swali
ni njia ipi ni salama isiokuwa na madhara mengi...iko average to any person (mwanamke)anwezakuitumia ktk uzazi wa Mpango?
Njia salama ya uzazi wa mpango nijuavyo mimi ni kutumia dawa za asili aka dawa za mitishamba hazina madhara kwa mwanamke atakaye uzazi wa mpango mimi ninazo hizo njia na dawa ya kukuwezesha usiweze kushika mimba ukihitaji nitafute kwa wakati wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169
 
Aachane na madawa ya hospitali ni mabaya mno..tumia njia asilia kama hiyo ya kalenda au withdraw
 
Wakuu habari.
Thogh mimi ni mwanamume lakini nimeona niulize hili swali
ni njia ipi ni salama isiokuwa na madhara mengi...iko average to any person (mwanamke)anwezakuitumia ktk uzazi wa Mpango?
NTAWASAIDIA HAPA NDO KILA KITU NJIA YA CALENDAR NI FATILIE KWA UMAKINI SANA USIJE JAZA KIJIJI.
1. Mwanamke/Mwanaume kuwa muwazi na bleeding day yake kwa mwanaume.
2. Ujue mzunguko wa mpenz wako kama ni mrefu au mfupi lakni njia hii favourable kwa 28days only it work better
3. Avoid 14 day ya siku yake and the around days kwan siku hiyo ni hatari kwa mwanamke 100%kupata mimba
Anglia chini jedwali ili muelew vizuri!!!!
Zipo nyingi mno playstore ukisearch.. Ishu ni kuwa huku mwanzo ni lazima uwe makini na kuweka data sahihi za kila anapoanza mzunguko.. Baada ya kama miez mi 3 au 4 hivi utaona inaanza kujileta yenyewe, hata kama mizunguko inabadilika badilika bado inasaidia sana tu..kadri mda unavyokwenda na zenyewe ndo zinakuwa more accurate kutokana na start na finish date za kila mzunguko..
 
NTAWASAIDIA HAPA NDO KILA KITU NJIA YA CALENDAR NI FATILIE KWA UMAKINI SANA USIJE JAZA KIJIJI.
1. Mwanamke/Mwanaume kuwa muwazi na bleeding day yake kwa mwanaume.
2. Ujue mzunguko wa mpenz wako kama ni mrefu au mfupi lakni njia hii favourable kwa 28days only it work better
3. Avoid 14 day ya siku yake and the around days kwan siku hiyo ni hatari kwa mwanamke 100%kupata mimba
Anglia chini jedwali ili muelew vizuri!!!!
u ni kwangu tuuu au na kwa wengine sioni kalenda Mkuuu ingawa nakufuatilia.....
 
Back
Top Bottom