second king
Member
- Feb 8, 2016
- 94
- 43
Mkuuu hiyo application unaitumiaje? naeza kuipata wapi?Na mimi ni mwanaume na nakujibu njia isiyo na chembe la madhara ni kutumia kalenda. Wengi wanaikimbia maana mwanzo inahitaji uelewa la sivyo chaka.. Uzuri skuiz kuna hadi apps za kukusaidia..
Jerrymsigwa🙄🙄Unadoo siku ya kupata mtoto basi, huhitaji mambo ya mpango sijui nini....we kazana tu unapotaka kid kwishaaaa siku zingine zoote kaa kama bachela.Kwani sex si iliweka ili kuzaa..
Zipo nyingi mno playstore ukisearch.. Ishu ni kuwa huku mwanzo ni lazima uwe makini na kuweka data sahihi za kila anapoanza mzunguko.. Baada ya kama miez mi 3 au 4 hivi utaona inaanza kujileta yenyewe, hata kama mizunguko inabadilika badilika bado inasaidia sana tu..kadri mda unavyokwenda na zenyewe ndo zinakuwa more accurate kutokana na start na finish date za kila mzunguko..Mkuuu hiyo application unaitumiaje? naeza kuipata wapi?
Tatizo si unajua siku za hawa wenzetu hubadilikabadilika kufuatana na mazingira?
Njia salama ya uzazi wa mpango nijuavyo mimi ni kutumia dawa za asili aka dawa za mitishamba hazina madhara kwa mwanamke atakaye uzazi wa mpango mimi ninazo hizo njia na dawa ya kukuwezesha usiweze kushika mimba ukihitaji nitafute kwa wakati wako.Wakuu habari.
Thogh mimi ni mwanamume lakini nimeona niulize hili swali
ni njia ipi ni salama isiokuwa na madhara mengi...iko average to any person (mwanamke)anwezakuitumia ktk uzazi wa Mpango?
ntamwambia ajaribu kalenda though kalenda ukikosea kidogo imekula kwako.....Aachane na madawa ya hospitali ni mabaya mno..tumia njia asilia kama hiyo ya kalenda au withdraw
umakini wahitajika hapontamwambia ajaribu kalenda though kalenda ukikosea kidogo imekula kwako.....
NTAWASAIDIA HAPA NDO KILA KITU NJIA YA CALENDAR NI FATILIE KWA UMAKINI SANA USIJE JAZA KIJIJI.Wakuu habari.
Thogh mimi ni mwanamume lakini nimeona niulize hili swali
ni njia ipi ni salama isiokuwa na madhara mengi...iko average to any person (mwanamke)anwezakuitumia ktk uzazi wa Mpango?
Zipo nyingi mno playstore ukisearch.. Ishu ni kuwa huku mwanzo ni lazima uwe makini na kuweka data sahihi za kila anapoanza mzunguko.. Baada ya kama miez mi 3 au 4 hivi utaona inaanza kujileta yenyewe, hata kama mizunguko inabadilika badilika bado inasaidia sana tu..kadri mda unavyokwenda na zenyewe ndo zinakuwa more accurate kutokana na start na finish date za kila mzunguko..
u ni kwangu tuuu au na kwa wengine sioni kalenda Mkuuu ingawa nakufuatilia.....NTAWASAIDIA HAPA NDO KILA KITU NJIA YA CALENDAR NI FATILIE KWA UMAKINI SANA USIJE JAZA KIJIJI.
1. Mwanamke/Mwanaume kuwa muwazi na bleeding day yake kwa mwanaume.
2. Ujue mzunguko wa mpenz wako kama ni mrefu au mfupi lakni njia hii favourable kwa 28days only it work better
3. Avoid 14 day ya siku yake and the around days kwan siku hiyo ni hatari kwa mwanamke 100%kupata mimba
Anglia chini jedwali ili muelew vizuri!!!!