Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Umemshirikisha mwenzi wako?
Baadhi ya Imani zinakataza njia za kisasa na kushauri njia za asili kama vile.

Calendar method
Billing ovulation method
Basal body temperature
Coitus interrupt.

Enendeni Ulimwenguni mkaongezeke na kuijaza dunia

mkuu ebu tafsri kwa lugha mama ya taifa hili tulio na shida hii niwengi ila ligha ya kimalikia inatupitia nyumaa samutaimzi
 
Wakuu, naombeni ushauri, nahtaji kupanga uzazi, kutumia njia za uzazi wa mpango, njia ipi ni sahihi kutumia.....

Declaration of interest; Calender method, withdrwa method zilishanishnda,

Naomba ushauli kwa njia zngne za uzazi wa mpango. Asanteni.
Njia ya kalenda+kondom ndio njia nzuri na rahisi kutumia, haina madhara.
NB: umakini unatakiwa sana, tena unapaswa kua mwanaume sio mvulana.

Cha kufanya ni kuhakikisha zile siku salama ndo unapiga kavu kavu, zile 8 za hatari ndio utumie kondom full stop.

Ukiwa makini hukosei kamwe.
 
Hizi ni salama, sema ka condom nako mmh unaweza jikuta unakatoa njiani
 
Hizi ni salama, sema ka condom nako mmh unaweza jikuta unakatoa njiani
[emoji23] [emoji23]
Ni kweli ila ukiwa makini hilo haliwezi kutokea.

Ukiona fleva imeongezeka ghafla ujue kondom haipo tena fasta chukua hatua stahiki
 
Wakuu, naombeni ushauri, nahtaji kupanga uzazi, kutumia njia za uzazi wa mpango, njia ipi ni sahihi kutumia.....

Declaration of interest; Calender method, withdrwa method zilishanishnda,

Naomba ushauli kwa njia zngne za uzazi wa mpango. Asanteni.
Nitafute mimi nikupe dawa za asili za uzazi wampango usiye na madhara kiafya.Ukihitaji nitafute kwa wakati wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Mkuu samahani msaada kunganishwa jukwaa la wakubwa
 
Baada ya muda uyasikilia madaktari kutoa Amerika wamekuja kupima Kansas ya titi,
Mzungu mbinifu mno,anatengeneza tatizo la kisiri then anawapa sawa Kwa bei ya msaada.
 
Njia bora ya uzazi wa mpango ni kalenda, Ila tatizo ni kwamba wengi hawajui kutumia kalenda na hawafahamu hata kuhesabu, Wanawake wengi hawajui tena wengine wakubwa tu,
 
Njia bora ya uzazi wa mpango ni kalenda, Ila tatizo ni kwamba wengi hawajui kutumia kalenda na hawafahamu hata kuhesabu, Wanawake wengi hawajui tena wengine wakubwa tu,
Njia yangu nimeitumia sana. Ila inahitaji umakini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…