afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Shida ni kwamba miradi ya k7upanga uzazi hazimilikiwi na serikali bali ni NGO, na kila NGO ina donnors wao. Malteser ipo funded na Malta, na order of Malta ndio vatica, kwa hiyo hawawezi kukubaliana na diaphragm ama IUD sababu kwa upande wa dini ni "waste". watapendekeza zaidi vidonge na sindano. sasa 7ukizingatia sindano zina gharama ya kuwalipa ma nesi wanaona ni bora kutumia vidonge.
Wakienda field kuanzisha mradi wanafanya training ya vidonge tu sababu hayo mengine wamesha amua ofisini, hivo nesi anakua anajua sana kuhusu vidonge na vingine ni kama sisi tu, some time even less.
Hapo pekundu pameni huzunisha kwa kweli..