Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Kabisa Mkuu....

Wasitumie kabisa.. Sadly enough wasichana wanayatafuna kama karanga za diamond.

Vyuoni huko ni sehemu ya vitini.. Unapata mke miaka mitano mimba haidaki.
Very sad.

Chuoni levo za juu. Niliwahi kuona binti mdogo saana possible 16 yrs. Mtoto wa o level.
Alikuja dukani pharmacy kutaka kujua namna they work out.
 
Mimi huwa natumia tu Calendar na watoto wangu wamepishana Miaka 3.5.

Pia haya madawa huwa nadhani yanachangia uwepo wa ugonjwa wa Kansa.
 
Mimi huwa natumia tu Calendar na watoto wangu wamepishana Miaka 3.5.

Pia haya madawa huwa nadhani yanachangia uwepo wa ugonjwa wa Kansa.
Uko smart ...very smart. Hongera.
 
Mimi huwa natumia tu Calendar na watoto wangu wamepishana Miaka 3.5.

Pia haya madawa huwa nadhani yanachangia uwepo wa ugonjwa wa Kansa.
Kwa kweli mimi huwa nashangaa manzi anayesema eti kutumia kalenda hawezi.... Huwa namuona mbumbu kabisa! This is the best and safe way which has no risk! Ila nahisi wanaoshindwa ni wale wachepukaji!
 
Kwa kweli mimi huwa nashangaa manzi anayesema eti kutumia kalenda hawezi.... Huwa namuona mbumbu kabisa! This is the best and safe way which has no risk! Ila nahisi wanaoshindwa ni wale wachepukaji!
Maumbile yanatofautiana...wengine kalender haiapply kwao.
 
Kwa kweli mimi huwa nashangaa manzi anayesema eti kutumia kalenda hawezi.... Huwa namuona mbumbu kabisa! This is the best and safe way which has no risk! Ila nahisi wanaoshindwa ni wale wachepukaji!
Mr Kind.
Sometimes hata Wanaume hawajui juu ya njia hii. Mara nyingi wanaume huwalazimisha wanawake kufanya nao tendo la ndoa hata akiwa katika siku zake za hatari.

Inakuwa ni vizuri pia kama Mwanaume na yeye atakuwa anafahamu siku za hatari kwa Mkewe kupata mimba.

Nimeweka hako ka-jedwali kanakoonyesha mzunguko wa Mwanamke na siku zake za hatari.

Kumbuka unaanza kuhesabu siku kuanzia siku ya Kwanza ya Mwanamke kuanza kutokwa na damu ya hedhi.
 
Attachments

  • periods.png
    periods.png
    28.9 KB · Views: 51
Mr Kind.
Sometimes hata Wanaume hawajui juu ya njia hii. Mara nyingi wanaume huwalazimisha wanawake kufanya nao tendo la ndoa hata akiwa katika siku zake za hatari.

Inakuwa ni vizuri pia kama Mwanaume na yeye atakuwa anafahamu siku za hatari kwa Mkewe kupata mimba.

Nimeweka hako ka-jedwali kanakoonyesha mzunguko wa Mwanamke na siku zake za hatari.

Kumbuka unaanza kuhesabu siku kuanzia siku ya Kwanza ya Mwanamke kuanza kutokwa na damu ya hedhi.
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwa Mke na mume nadhani ni rahisi sana kuelekezana na kufikia maelewano. Kweli kuna wanaume wakorofi, lakini katika hili huo utakuwa sio ukorofi bali ujinga kuhatarisha afya ya Mke wako. Kalenda ni nzuri sana labda tu kwa hao wachache wenye matatizo ya kimaumbile.

Kwa waliooana, katu msiendekeze haya madawa jamani sio mazuri. Mimi hapa nahangaika na mdogo wangu wa kike yuko kidato cha nne sasa hivi anatoka damu tu karibu siku ya 20 leo baada ya siku zake za kawaida. Nimetumia maneno ya busara kumuuliza kama ametumia haya madonge amekataa, au kama ame abort napo amekataa! Hospitali sijui kuongea nini na daktari maana hata daktari nae ameishia kuniambia huwa yanawatokea wachache kwamba ni homoni zimevurugika tu hivyo atapona. Nilichoamua, nimemrudisha shule zikaendelee kumvujia huko huko maana kama ni siri anaijua mwenyewe japo kila naye mwambia ananihakikishia ni hayo madawa na yatakuwa yamemkataa. Nimemwambia Mzee naye kasema nisilee ujinga aende shule damu zikimuishia tutamuongezea hospitali
 
Tunashukuru kwa ujumbe, watumiaji watakua wamekuelewa ila kwa hakika uzazi wa mpango ulitakiwa ufanywe na wanaume na si wanawake maana uwezo wa mwanamke kubeba mimba kwa mwaka ni Mara 1 yaani miezi 9 lakini mwanaume anauwezo wa kizalisha wanawake 100 kwa mwaka huo huo mmoja, hebu wanaume mtupunguzie masahibu haya wanawake
 
Back
Top Bottom