new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 46
- 126
Off target during climax shooting is the only safest way!Habari wana jf?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka WA pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv. Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na kitanzi chenyewe kawekewa kina kama miezi nane tu ila chakushangaza alikuwa hajaingia period tangu wiki iliyopita kaenda kujipima Leo kakuta ni mjamzito na kitanzi anacho. Hii imetuacha na maswali mengi, na hatuko tayari kupata mtoto mwingine Kwa saizi.
Kwa mwana Jf anayefahamu DAWA anayoweza kutumia au njia salama ya kutoa huo ujauzito sababu bado ni mchanga SANA. Msaada tafadhalini🙏
Angalizo: kutoa mimba ni kufanya mauaji, yaani unakuwa muuaji.Habari wana jf?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka WA pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv. Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na kitanzi chenyewe kawekewa kina kama miezi nane tu ila chakushangaza alikuwa hajaingia period tangu wiki iliyopita kaenda kujipima Leo kakuta ni mjamzito na kitanzi anacho. Hii imetuacha na maswali mengi, na hatuko tayari kupata mtoto mwingine Kwa saizi.
Kwa mwana Jf anayefahamu DAWA anayoweza kutumia au njia salama ya kutoa huo ujauzito sababu bado ni mchanga SANA. Msaada tafadhalini🙏
Mi mwenyewe nilitaka kumwambia hivyo hivyo, awe anachomoa betri kabla ya cheche.Off target during climax shooting is the only safest way!
Mirija imekatwa inajirudi vipi? au maombiHakuna njia ya uzazi wa mpango yenye ufanisi wa asilimia 100 isipokuwa kutokufanya tendo la ndoa kabisa( abstaining). Hata waliokata mirija ya uzazi ( kufunga kizazi tunaitaga sisi waswahili) kuna ambao ile mirija inajirudi na wanapata mimba( nimeshuhudia hili mwenyewe). Kwahiyo kaa ukijua njia pekee ya asilimia 100 ya kutokupata ujauzito ni kutokufanya tendo la ndoa kabisa. Huo ndo ukweli na uhalisia.