AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Hapo zaman; wazee walikua wanaenda Tanga kukata mkonge mara baada ya wake zao kujifungua na kurudi baada ya miaka 2+. Hii ilikua ni moja ya njia ya uzazi wa mpango
Hata mm ckushaur utumie za kisasa zinaathari baadae aisee pambana na kakenda tu mkuu kikubwa ujue mzunguko wa hedhi yako au awe anamimina chini wakat wa kutoa wazungu wake kama mimi navofanyaNaombeni msaada wa kutumia njia gani za asili za uzazi wa mpango...sizihitaji za kisasa..
Naombeni ushauri wa njia mbalimbali..
Mimi naweza leo mwaka wa 5 hamna mtoto wa mwisho ana miaka 7Withdrawal ndo mpango mzima.....mwambie jamaa yako amwage nje ila ni wachache wanaoweza ku manage hii technique
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu aseme mkuu umedanganya aone yeye ajifanye tu kama anajikuna aone hapa itakavyokuwa [emoji3] (In Mwanri voice)
Ht kuku wanazaa kwa mpangilio...hawazai zai tu...just kuzaa tu hali ya kuwa kuna mtoto bdo anyonya....Fyatua tu kwan nn?
Mwanaume mimi wewe kenge..Withdrawal ndo mpango mzima.....mwambie jamaa yako amwage nje ila ni wachache wanaoweza ku manage hii technique
Hapo zaman; wazee walikua wanaenda Tanga kukata mkonge mara baada ya wake zao kujifungua na kurudi baada ya miaka 2+. Hii ilikua ni moja ya njia ya uzazi wa mpango
Mimi mwanaume...ila kumimina chini nayo shughuli...utasema inanataga kule haitaki toka...na mzunguko wa hedhi nayo haiaminiki...Hata mm ckushaur utumie za kisasa zinaathari baadae aisee pambana na kakenda tu mkuu kikubwa ujue mzunguko wa hedhi yako au awe anamimina chini wakat wa kutoa wazungu wake kama mimi navofanya
Ila inauma sanaMimi naweza leo mwaka wa 5 hamna mtoto wa mwisho ana miaka 7
Hata kama haziaminiki jiongezeeni siku hatar punguzeni siku salama.Mimi mwanaume...ila kumimina chini nayo shughuli...utasema inanataga kule haitaki toka...na mzunguko wa hedhi nayo haiaminiki...
Zipo za asili ambazo kimsingi zinaambatana na mambo ya kienyeji, nadhani Kila kabila wanazo.Naombeni msaada wa kutumia njia gani za asili za uzazi wa mpango...sizihitaji za kisasa..
Naombeni ushauri wa njia mbalimbali..
Njia nzuri na ya uhakika ni abstaining from sex basi.Ht kuku wanazaa kwa mpangilio...hawazai zai tu...just kuzaa tu hali ya kuwa kuna mtoto bdo anyonya....
Nisaidie hizo za kienyeji...Zipo za asili ambazo kimsingi zinaambatana na mambo ya kienyeji, nadhani Kila kabila wanazo.
Mwenyewe nilidhani tunazo wasukuma tu kumbe wapogolo, wandamba na wanyiramba nao wanazo.
Hata kama unataka uwe una alternate watoto jinsia tofauti Kila mimba nazo wanazo. Waafrika tuna vyetu vizuri sana, basi tu.
Duuu......!!Nisaidie hizo za kienyeji...
Maana yake hautaki kutumia kondomu yani unataka nyama kwa nyama yani kavu kavu...Naombeni msaada wa kutumia njia gani za asili za uzazi wa mpango...sizihitaji za kisasa..
Naombeni ushauri wa njia mbalimbali..