Uzazi wa mpango

Uzazi wa mpango

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Naombeni msaada wa kutumia njia gani za asili za uzazi wa mpango...sizihitaji za kisasa..

Naombeni ushauri wa njia mbalimbali..
 
Withdrawal ndo mpango mzima.....mwambie jamaa yako amwage nje ila ni wachache wanaoweza ku manage hii technique
 
Hapo zaman; wazee walikua wanaenda Tanga kukata mkonge mara baada ya wake zao kujifungua na kurudi baada ya miaka 2+. Hii ilikua ni moja ya njia ya uzazi wa mpango
 
Mtu aseme mkuu umedanganya aone yeye ajifanye tu kama anajikuna aone hapa itakavyokuwa [emoji3] (In Mwanri voice)
 
Naombeni msaada wa kutumia njia gani za asili za uzazi wa mpango...sizihitaji za kisasa..

Naombeni ushauri wa njia mbalimbali..
Hata mm ckushaur utumie za kisasa zinaathari baadae aisee pambana na kakenda tu mkuu kikubwa ujue mzunguko wa hedhi yako au awe anamimina chini wakat wa kutoa wazungu wake kama mimi navofanya
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Thubutuuuu...miezi miwil tu ile ya kujifungua aliyokuwa nayo imenipa shida...ht mwaka tu cwez...
Hapo zaman; wazee walikua wanaenda Tanga kukata mkonge mara baada ya wake zao kujifungua na kurudi baada ya miaka 2+. Hii ilikua ni moja ya njia ya uzazi wa mpango
 
Hata mm ckushaur utumie za kisasa zinaathari baadae aisee pambana na kakenda tu mkuu kikubwa ujue mzunguko wa hedhi yako au awe anamimina chini wakat wa kutoa wazungu wake kama mimi navofanya
Mimi mwanaume...ila kumimina chini nayo shughuli...utasema inanataga kule haitaki toka...na mzunguko wa hedhi nayo haiaminiki...
 
Hata kama haziaminiki jiongezeeni siku hatar punguzeni siku salama.

Hata kudinya kutanoga kuliko kuparamia kila siku
 
Naombeni msaada wa kutumia njia gani za asili za uzazi wa mpango...sizihitaji za kisasa..

Naombeni ushauri wa njia mbalimbali..
Zipo za asili ambazo kimsingi zinaambatana na mambo ya kienyeji, nadhani Kila kabila wanazo.

Mwenyewe nilidhani tunazo wasukuma tu kumbe wapogolo, wandamba na wanyiramba nao wanazo.

Hata kama unataka uwe una alternate watoto jinsia tofauti Kila mimba nazo wanazo. Waafrika tuna vyetu vizuri sana, basi tu.
 
Nisaidie hizo za kienyeji...
 
Naombeni msaada wa kutumia njia gani za asili za uzazi wa mpango...sizihitaji za kisasa..

Naombeni ushauri wa njia mbalimbali..
Maana yake hautaki kutumia kondomu yani unataka nyama kwa nyama yani kavu kavu...

Isome calendar ya mzunguko wa hedhi yako siku ya 14 toka uanze kubleed hiyo ni siku ya hatari ovulation inafanyika usikubali kugegedwa hiyo siku ..ongeza siku mbili mbele ruduli siku mbili nyuma kutoka hiyo siku ya 14 hizo ni siku za mimba... Kwahyo epuka siku 12 - 16 or unaeza sogeza hadi siku ya 17,18, huko mbele

Mjifunze kupigia pembeni...

Acheni kabisa msifanye tendo la ndoa wakati wa kulea
 
Back
Top Bottom