Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Saladi kama hukujichezea ulipokuwa kinda. Sitaki niseme mengi ingawa inauma.
hayo ya kujichezea ama kutokujichezea hayahusiki hapa mkuu. Ndio unyanyapaa huu tunaongelea kila siku. Hata anaepata hiv sio kwa sababu ni malaya, kuna alieletewa. Mshukuru Mungu kwa kukupa chances nyingi kwenye maisha, na usianze kuwaza negative ya wasiokuwa na ulivyonavyo. Kuna waliojichezea haswa na wana watoto na wanaendelea kujichezea.