Uzee Mwisho Chalinze, Lionel Richie ajibu mapigo ya Mengi

Uzee Mwisho Chalinze, Lionel Richie ajibu mapigo ya Mengi

Nilikua nampenda huyu bwana,ile nyimbo yake Hello, inanimaliza mpaka kesho ....
 
Ww utakuwa ni mdada wa middle 20s ama early 30s sasa utamwitaje huyu mkaka mwite mbaba huyu, ama ndo mshazoea kutoka na vizee! huyu unamuona mkaka? Unless uniambie una 40yrs apo sawa.

Nina 70 wala isikupe shidaaa
 
Dah, nikimuona Lionel Rich nakumbuka nyimbo za Hello,I call it love....nakumbuka mbali sana.
 
Back
Top Bottom