Ballerina girl
Ballerina girl
Huyu kaka alikuaga mzuriii naona uzee unamuitaaa
Wewe dinazarde huyu ni lionel richie sio richie mavoko au richie richie!. na wala sio richard wa BBA!!
Ww utakuwa ni mdada wa middle 20s ama early 30s sasa utamwitaje huyu mkaka mwite mbaba huyu, ama ndo mshazoea kutoka na vizee! huyu unamuona mkaka? Unless uniambie una 40yrs apo sawa.
Ha ha ha...umenichekesha uliposema "huyu kaka"...uzee mwisho chalinze!
Ballerina girl