Uzee mwisho Chalinze

Vizee mtaani ndivyo vinaongoza kuwagongea vijana!
 
Reactions: BAK
Naungana na WHO.
Lakini angalia mazingira ya hiyo picha kwa hao couple.
Mazoezi ni muhimu sana
Lishe safi
Mazoezi kwenye fresh air, sio barabarani!
Company ya mamaa isiyo na mikwaruzo(hapo hakuna misongomisongo ya kugawana mali pasupasu)nk.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tujirushe tu Mkuu uzee mbali sana lol!

Hahaha..
Hao kwny picha watakuwa kwny 50's, kwa hiyo bado ni young!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…