Uzee umekuja ghafla kwenye maisha yangu

Uzee umekuja ghafla kwenye maisha yangu

Mwamba umepiga modal au jeans yako imechanika chanika magotini..kumbe watu wanakuona mdingi
images.jpeg
 
Habari wakuu natumaini muko vizuri.

Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana mdogo bali inaniona ni Mtu anaefukuzia uzee.

Nilizoea kupewa shkamoo na watoto wadogo lakini sasa napewa shkamoo na vijana wakubwa tuu ambao Mimi nilihisi pengine tuko sawa. Mwanzo walikuwa ni vijana wakubwa wachache lakini saizi ni vijana wengi sana wakubwa wananipa shkamoo, wengine wananiita baba kabisa.

Siku Moja ndio nilishangaa kabisa pale nilipotaka kujipatia kamchepuko majibu yake yakaniacho hoi "kalisema lakini wewe mbona kama baba yangu tuu "

Uzee umepiga hodi kwenye maisha yangu na Bado hata sikujipanga vizuri kuupokea.

NB: MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI
Una miaka mingapi?
 
Ni mamvi ni mwendo wa kutembea na hair dye na kimswaki mpaka naelekea kunyoosha mikono sasa .Miaka 36.
 
Ukijikubali unakua mu handsome tuu ya uzee na kurith vinaonekana tuu wala usiwaze.
Au n mvi za majukumu 😂😂😂.
 
Habari wakuu natumaini muko vizuri.

Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana mdogo bali inaniona ni Mtu anaefukuzia uzee.

Nilizoea kupewa shkamoo na watoto wadogo lakini sasa napewa shkamoo na vijana wakubwa tuu ambao Mimi nilihisi pengine tuko sawa. Mwanzo walikuwa ni vijana wakubwa wachache lakini saizi ni vijana wengi sana wakubwa wananipa shkamoo, wengine wananiita baba kabisa.

Siku Moja ndio nilishangaa kabisa pale nilipotaka kujipatia kamchepuko majibu yake yakaniacho hoi "kalisema lakini wewe mbona kama baba yangu tuu "

Uzee umepiga hodi kwenye maisha yangu na Bado hata sikujipanga vizuri kuupokea.

NB: MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI
uo sasa ndo muda muafaka wa kung'oa warembo kama haujui. angalia tu wasikumalize. wanawake wa ajabu sana wanawaamini sana vibabu kuliko vijana wenzao.
 
Dah mwanangu huwa inakera japo ndo uhalisia,hiyo inanikuta mimi pia,ni kijana mdogo ila upara unang'aa hataree,inanifanya ninyoe kila wiki isee,kibaya sijaoa,hv nataka nioe chap isije nikachelewa niikajakataliwa kuonekana babu
 
Habari wakuu natumaini muko vizuri.

Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana mdogo bali inaniona ni Mtu anaefukuzia uzee.

Nilizoea kupewa shkamoo na watoto wadogo lakini sasa napewa shkamoo na vijana wakubwa tuu ambao Mimi nilihisi pengine tuko sawa. Mwanzo walikuwa ni vijana wakubwa wachache lakini saizi ni vijana wengi sana wakubwa wananipa shkamoo, wengine wananiita baba kabisa.

Siku Moja ndio nilishangaa kabisa pale nilipotaka kujipatia kamchepuko majibu yake yakaniacho hoi "kalisema lakini wewe mbona kama baba yangu tuu "

Uzee umepiga hodi kwenye maisha yangu na Bado hata sikujipanga vizuri kuupokea.

NB: MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI
🤣 🤣 🤣
 
Mimi ninavyoupenda uzee, nasikia raha kuitwa mama, hata binti yangu wa kazi tunabishana namwambia niite mama yy anagoma. Anasema mimi ni dada yake.!!
Kuna kitoto cha kike nakaa nacho cha wifi yangu nilikigomea kuniita aunt, kinaniita mama basi nasikia raha 🥰🥰🥰

Natamani mtoto wa sisy akue haraka apate mtoto niiitwe bibi mdogo 🤣
Kwahiyo kupigwa pumbu kooote huko bila bila mpaka leo hakuna kilichotoka??
Jitzame vizuri, au wewe tasa?
 
Habari wakuu natumaini muko vizuri.

Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana mdogo bali inaniona ni Mtu anaefukuzia uzee.

Nilizoea kupewa shkamoo na watoto wadogo lakini sasa napewa shkamoo na vijana wakubwa tuu ambao Mimi nilihisi pengine tuko sawa. Mwanzo walikuwa ni vijana wakubwa wachache lakini saizi ni vijana wengi sana wakubwa wananipa shkamoo, wengine wananiita baba kabisa.

Siku Moja ndio nilishangaa kabisa pale nilipotaka kujipatia kamchepuko majibu yake yakaniacho hoi "kalisema lakini wewe mbona kama baba yangu tuu "

Uzee umepiga hodi kwenye maisha yangu na Bado hata sikujipanga vizuri kuupokea.

NB: MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI
Punguza punyeto na majungu uso upate nuru
 
Hii inawakuta Sana wale Dada pouwa wanauza mbususu mwisho wa siku wanaona madanga wanapungua wakija kutahamaki wanaambiwa 'Bibi zima unauza kum#.
 
Back
Top Bottom