Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia inasemekana, ukiwa mzee na ukiishi kama kijana, afya ya mwili inaimarika zaidiMimi nilipita huko miaka ya 80
Sitanii ila nimevuka 60 kwa sasa Mkuu kwanini nidanganye
Nataka nizeeke vizuri Yani, Yani jibibi shangingi Kama Da Kasie 😂 At that age nitakuwa nimestaafu, naota kwenda Hija Mecca na mpenzi wangu sana Insha'Allah.....
Napenda kusafiri, natamani huo uwe muda wa kufanya utalii wa ndani....kutunza bustani, navyopenda kupika itakuwa ni Muda wangu wa kupika vyakula mbalimbali....Namuomba Mungu anipe umri.
Yakupasa utoe fungu la kumi bila kupunja, ukipata milioni moja toa laki mojaMi nitapenda niendelee na imani ya kumtumikia Yesu wangu daima mpaka kaburini vingine atanijazia
Nini tatizo kwa mwenza wako mkuu?Niwe na akiba nzuri benki na miradi inayozalisha ili nile taratiiiibu mpaka mwisho wa maisha. Ningetamani mwenza wangu awepo ili tusukume sehemu ya maisha yaliyobaki pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua mkuuNataka niwe shuga grand p
Inawezekana kabisa, umeweka mikakati gani ili kufikia hayo malengo?Nataka nizeeke vizuri Yani, Yani jibibi shangingi Kama Da Kasie 😂 At that age nitakuwa nimestaafu, naota kwenda Hija Mecca na mpenzi wangu sana Insha'Allah.....
Napenda kusafiri, natamani huo uwe muda wa kufanya utalii wa ndani....kutunza bustani, navyopenda kupika itakuwa ni Muda wangu wa kupika vyakula mbalimbali....Namuomba Mungu anipe umri.
Naichukua hii pointi mkuu kwa utekelezajiMleta mada ili ufikie ndoto zako katafute shamba ekari 20, Anza kujenga miundombinu ya mifugo Sasa na kupanda miti ya matunda. Ukisubiri kufanya maandalizi baada ya kustaafu haitawezekana.
Wazo nzuri, ni mikakati gani ambayo tayari umeshaanza kuitekeleza?Niwe nimeandaa miundombinu ya kuniingizia kipato cha kuweza kunihudumia Mimi na kuweza kuendelea kutoa sadaka na misaada kwa wanaohitaji
Naogopa kufikia umri huo huku nikiwa bado kapuku kiasi cha kuwatolea watoto maneno ya laana kila wanapokosa kukutimizia
Nibaki na moyo na Ari ya kufanya ibada,pia niweze kuchachua siku moja moja na nisichague mavazi
Nimeshajenga himaya ya kibiashara japo haijafikia uwezo ninaouhitaji .....na Nina waandaa watoto wawe wasimamizi na waendelezaji wazuri ktk siku ambazo nitalazimika kung'atukaWazo nzuri, ni mikakati gani ambayo tayari umeshaanza kuitekeleza?
Vizuri mkuu, kama umeanza kuchukua hatua za mwanzo ni rahisi kuja kufanikisha lengoNimeshajenga himaya ya kibiashara japo haijafikia uwezo ninaouhitaji .....na Nina waandaa watoto wawe wasimamizi na waendelezaji wazuri ktk siku ambazo nitalazimika kung'atuka
Vyema sana kiongozi na mungu azidi kukuweka
Kwamba black sniper ako na umri zaidi ya miaka 60!!
Shikamoo Mzee!
Utumishi mwema dada, i wish iwe hivyoNimemaanisha mpaka naingia kaburin
Mleta mada ili ufikie ndoto zako katafute shamba ekari 20, Anza kujenga miundombinu ya mifugo Sasa na kupanda miti ya matunda. Ukisubiri kufanya maandalizi baada ya kustaafu haitawezekana.
Pia inasemekana, ukiwa mzee na ukiishi kama kijana, afya ya mwili inaimarika zaidi