Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Ni kweli mkuu, kutokumtegemea mtu kutategemea na namna ulivyopangilia mambo yako. Kwa mazingira ya sasa itakuwa ni vizuri, hata ukiwa usingizini pesa iwe inaingia kutokana na ulivyoviwekeza.Halafu uwe humtegemei mtu na una furaha zaidi
Mazoezi kidogo ni nzuri sana ila sio ya kujichosha, hata kutembea inanisaidia sana
Najiona bado sana