Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Ni sawa na nimefurahi
Ila ahadi hewa nehii
Hivi si uliniahidi utanizalia baby boy? Yuko wapi sasa na ma P2 yako kila siku
This time am not lying Babuu...
Count me in for real....
Amarula itahusika baada ya kushiba nyama pori 😅😊😊.
Baby boy anaingia 2022 na kutoka 2023 andaa jina mapemaa....
Punguza dozi ya K Vant ili asiwe legelege 😄
Nataka jina la kilugha sio Junior..😁.
Time kuanzia saa 9 jioni hadi jogoo atapoacha kuwika...😉