Uzembe Bandarini Dar

Uzembe Bandarini Dar

mzawa5

Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
38
Reaction score
8
Ivi serikali inaona jinsi inavyopoteza mapato. Naona kama tunaibiwa fedha zetu unalipia mzigo kodi zote lakini mzigo wako unashikiliwa hupewi Ati system hazifanyi kazi kibaya zaidi unazidi kulipishwa port charges. Hii ni aibu na hatutaweza kujikwamua kiuchumi. Aibu sana kwa nchi yetu
 
Ndivyo walivyo maneno lukuki ..system ipo down...anayetoa release hayupo....mkaguzi hayupo yupo lunch....inaonyesha gari lako sio la mwaka 2008 ni la 2003 itabidi tuongee kidogo nk...
 
Shemeji yenu gari lake liko bandarini toka jtatu last week yaani wanachosema hakieleweki yaani mpaka nimeamua kulisusa mwache aendelee kupanda daladala mpaka ajifungulie kwenye daladala ndo hawa watu wa bandarini watajua wanavotukera..
 
Kama tatizo lipo system za TRA sema, kama liko system za bandari pia SEMA, usijeneralaiz mambo. Tatizo clearing agent wengi wanajuwa tatizo liko wapi, wanababaisha tu wateja.
 
Bora tuwapatie mapato mombasa port
Hivi ukishushia Mombasa taratibu zinakuwaje? Kule unalipa nini? Na TZ unakuja kulipa nini? Maana isije mtu ukalipishwa Mara 2!
 
Gharama ni zile zile ila mzigo wako haucheleweshwi
 
Kama vipi jaribuni kutumia bandari za Tanga au Zanzibar longolongo hamna!!!!

Ivi serikali inaona jinsi inavyopoteza mapato. Naona kama tunaibiwa fedha zetu unalipia mzigo kodi zote lakini mzigo wako unashikiliwa hupewi Ati system hazifanyi kazi kibaya zaidi unazidi kulipishwa port charges. Hii ni aibu na hatutaweza kujikwamua kiuchumi. Aibu sana kwa nchi yetu
 
Kama tatizo lipo system za TRA sema, kama liko system za bandari pia SEMA, usijeneralaiz mambo. Tatizo clearing agent wengi wanajuwa tatizo liko wapi, wanababaisha tu wateja.

Usitake kutetea kuna uozo wa ajabu pale Bandarini mkuu, yaani hapafai. Visingizio kibao ili pesa iingie mifukoni mwao kwa kushirikiana na kile kinachoitwa ICD
 
Ushuru unakuta umeshalipa ila sasa mzigo unashikiliwa alafu storage fees iko pale pale..naona bado kuna jambo kubwa liahitajik kufanyiwakazi pale TPA
 
huu ni ujinga na upumbavu kabisa unaofanywa na wausika wa bandari. nawashauri wafanya biashara wenzangu, hakuna haja ya kuikimbia bandari yetu ya apa dar kwenda mombasa, ni haki yetu kuitumia, mizengwe wanayo ileta tutawaanika mpaka hata bungeni. siyo nyie mnaendelea kuota vitambi kama nundu la ngamia sisi uku tunakonda kwa kukwamisha mizigo yetu. tutachachamaa mpaka hivyo vinundu vyenu (vitambi) vitayeyuka. jirekebisheni mbona kupokea hela hamsemagi system mbovu. mabwege kweli kweli na hamna hadabu.
 
Ni vizuri tuongee ukweli na wahusika wafanyakazi wa bandarini wawe serious wajue wanashindana na jirani zetu wa Kenya.Mombasa nilipitisha gari ilichukua siku 2-3 ikawa imetoka.TZ unalipia customs duty port charges hulipii and mambo anaenda faster.Tuwe na culture ya kufanya kazi hata kama ni serekalini na hawa tunaowahudumia ni wenzetu.ukiwa mkweli na ukamsaidia mzigo wake ukatoka kirahisi hatashindwa na ww kukumbuka ,tatizo tunahitaji hela kabla hatujafanya kazi
 
Serikali ya Uhuru Kenyatta yasaini mkataba wa Ujenzi wa bandari kwa US$480m.....Lamu Port Project!
 
huu ni ujinga na upumbavu kabisa unaofanywa na wausika wa bandari. nawashauri wafanya biashara wenzangu, hakuna haja ya kuikimbia bandari yetu ya apa dar kwenda mombasa, ni haki yetu kuitumia, mizengwe wanayo ileta tutawaanika mpaka hata bungeni. siyo nyie mnaendelea kuota vitambi kama nundu la ngamia sisi uku tunakonda kwa kukwamisha mizigo yetu. tutachachamaa mpaka hivyo vinundu vyenu (vitambi) vitayeyuka. jirekebisheni mbona kupokea hela hamsemagi system mbovu. mabwege kweli kweli na hamna hadabu.

Unabwabwajaaa! Lakini unarudi kule kule kwamba hawa jamaa ni Wa hovyo kabisa dawa ni kuwahama wakiona mapato yanashuka watastuka! Wito kwa wafanyabiashara wote hamieni Mombasa ili tuwaadhibu hawa mburula!
 
Back
Top Bottom