UZEMBE; Kwa nini Makame Mbarawa alikosea sehemu ya kutia saini kwenye makubaliano ya Mkataba wa bandari? Aliusoma kweli?

UZEMBE; Kwa nini Makame Mbarawa alikosea sehemu ya kutia saini kwenye makubaliano ya Mkataba wa bandari? Aliusoma kweli?

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya.

Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini mikataba muhimu kama hiyo.
 
Licha ya hilo upande wa pili panaonekana pamesainiwa kishkaji tu hakuna jina
Screenshot_20230609-073319.png

Na raisi akamalizia sahihi yake chini kabisa sijui alijiridhisha au aliambiwa tu Mheshimiwa Mkataba upo bizuri wewe weka wino tu
 
Viongozi wa nchi zetu za Kiafrika na hata sisi waafrika wenyewe tunapenda short cut sana....

Ubinafsishaji ni moja ya matokeo ya tabia ya kupenda urahisi rahisi tu wa mambo...
 
Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya.

Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini mikataba muhimu kama hiyo.
Tuachane na haya.
Tuendeleze agenda za kumzomea jiwe.

Ndicho tunachoweza
 
Hawa wazanzibari wapuuzi sana, hawana uchungu kabisa na mali zetu.
 
Tuachane na haya.
Tuendeleze agenda za kumzomea jiwe.

Ndicho tunachoweza
Muondoe magufuli kwenye hili tu deal na hawa maprof ambao hata sehemu ya kusaini inawachanganga
 
Back
Top Bottom