Yaani hadi hapa huu mkataba ni batili, maana kuna saini ya uongo tena ya rangi mbiliLicha ya hilo upande wa pili panaonekana pamesainiwa kishkaji tu hakuna jinaView attachment 2650687
Na raisi akamalizia sahihi yake chini kabisa sijui alijiridhisha au aliambiwa tu Mheshimiwa Mkataba upo bizuri wewe weka wino tu
Tuachane na haya.Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya.
Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini mikataba muhimu kama hiyo.
Ndio madhara ya kutokunyonga watu.Nilishasema tusipoweka sheria ya kunyonga tutachezewa sana kama sheria ingekuwepo.unafikiri mtu atasaini bila kusoma kitu