Uzembe mwingine aisee utakuja kuwagharimu

Uzembe mwingine aisee utakuja kuwagharimu

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Kuna dem mmoja tuliwahi meet safarini tukabadilishana namba. Sasa tunaishi mikoa tofauti na hatukuonana tena ikabaki kuwasiliana mara mojamoja maana nilishaanza mpotezea baada ya kujua kaolewa na akawa ananilalamikia sana ujinga wa jamaa yake asivyojali familia hadi jamaa akahama home akapanga geto. Dem ni mdogo tu hata 30 hajafika alizalishwa akaacha shule,ila ukimuona utasema hajazaa maana ni mali safi balaa.

Na jamaa nae ni early 30 tu sema bangi sana. Basi bwana baada ya kimya kirefu siku nikamsalimia kumjulia hali akanambia yuko poa anaenjoy single life, kwamba walishaachana na jamaa kitambo jamaa alishaoa na hata hawawasiliani kabisa. Bahati namimi nilikua nasafiri ya huko na ndio maana nilimjulia hali makusudi ila sikutaka kumwambia kama naenda huko.

Nilikaa siku mbili huo mkoa bila kumcheki,siku ya tatu nikasema ngoja nimwambie tu kama nimekuja. Demu akafurahi sana akauliza nilipofikia,nikamwambia ila kama akasita maana ni kitu ya 5star (mambo ya DFP sio mimi),ila nikamdanganya ndio nimefika siku hiyo ili asianze lawama. Basi akasema kesho yake atakuja jioni. Tukachati sana siku hiyo. Kesho yake nikamaliza mishe mapema saa tisa nikamtext nipo hotelini,sababu alikua anasubiri tu ili aje hakuchkua mda mrefu akawa kaja kwenye saa kumi. Aisee dem ni mzuri hadi nikajilaumu why sikumcheki tangu mwanzo.

Siku hiyo aliondoka saa nne hivi usiku ila akasema kesho yake atakuja kulala. Na kweli tena mapema saa nane mchana akaja mzee nikapiga show hadi kesho yake. Na bado sikutamani aondoke maana ni PC moja matata sana. Basi nikarudi zangu Dar na tukaendelea kuwasiliana. Sasa ikapita kama wiki mbili hivii hatujawasiliana. Siku nikaona namba mpya imenipigia kumbe ni yeye akasema kaomba simu kwa mtu tuchat WhatsApp. Basi WhatsApp kanitumia picha kashonwa minyuzi sehemu kibao za mwili. Nikamuuliza kulikoni akadai jamaa yake alijua kama alimcheat.

ikamuuliza si ulisema mlishaachana? Na kajuaje? Akadai ni kweli tulishaachana ila aliniita kuchukua hela ya mtoto ndio akaninyang'anya simu akakuta picha na videos nilizojipiga room wakati haupo na kasema atazisambaza kunidhalilisha. Nikamuuliza kwani ulijipiga za uchi? Akasema ni za kawaida ila na za bra na chupy tu,maana jamaa anahisi eti alikua kaanza kujiuza kwa wazungu sababu ni hotel ya manyotanyota..... na room haidanganyi hata kwenye picha.

Uzuri msg tulizokua tunachat dem alizifuta ila mapicha na snaps ndo zimemchoma. Kakatwa mapanga sio poa yani,ila kesi ipo mahakamani na ndio imemuogopesha jamaa kusambaza picha na video maana alishawaambia ndugu za madem wote kuwa anajiuza kwenye mahoteli ya kitalii na ushahidi anao maana ndugu wa pande zote mbili huwa wanamlaumu jamaa kutelekeza familia sasa nae anajisafisha kwa hicho kisingizio.
 
Kuna dem mmoja tuliwahi meet safarini tukabadilishana namba. Sasa tunaishi mikoa tofauti na hatukuonana tena ikabaki kuwasiliana mara mojamoja maana nilishaanza mpotezea baada ya kujua kaolewa na akawa ananilalamikia sana ujinga wa jamaa yake asivyojali familia hadi jamaa akahama home akapanga geto. Dem ni mdogo tu hata 30 hajafika alizalishwa akaacha shule,ila ukimuona utasema hajazaa maana ni mali safi balaa. Na jamaa nae ni early 30 tu sema bangi sana. Basi bwana baada ya kimya kirefu siku nikamsalimia kumjulia hali akanambia yuko poa anaenjoy single life, kwamba walishaachana na jamaa kitambo jamaa alishaoa na hata hawawasiliani kabisa. Bahati namimi nilikua nasafiri ya huko na ndio maana nilimjulia hali makusudi ila sikutaka kumwambia kama naenda huko. Nilikaa siku mbili huo mkoa bila kumcheki,siku ya tatu nikasema ngoja nimwambie tu kama nimekuja. Demu akafurahi sana akauliza nilipofikia,nikamwambia ila kama akasita maana ni kitu ya 5star (mambo ya DFP sio mimi),ila nikamdanganya ndio nimefika siku hiyo ili asianze lawama. Basi akasema kesho yake atakuja jioni. Tukachati sana siku hiyo. Kesho yake nikamaliza mishe mapema saa tisa nikamtext nipo hotelini,sababu alikua anasubiri tu ili aje hakuchkua mda mrefu akawa kaja kwenye saa kumi. Aisee dem ni mzuri hadi nikajilaumu why sikumcheki tangu mwanzo. Siku hiyo aliondoka saa nne hivi usiku ila akasema kesho yake atakuja kulala. Na kweli tena mapema saa nane mchana akaja mzee nikapiga show hadi kesho yake. Na bado sikutamani aondoke maana ni PC moja matata sana. Basi nikarudi zangu Dar na tukaendelea kuwasiliana. Sasa ikapita kama wiki mbili hivii hatujawasiliana. Siku nikaona namba mpya imenipigia kumbe ni yeye akasema kaomba simu kwa mtu tuchat WhatsApp. Basi WhatsApp kanitumia picha kashonwa minyuzi sehemu kibao za mwili. Nikamuuliza kulikoni akadai jamaa yake alijua kama alimcheat. Nikamuuliza si ulisema mlishaachana? Na kajuaje? Akadai ni kweli tulishaachana ila aliniita kuchukua hela ya mtoto ndio akaninyang'anya simu akakuta picha na videos nilizojipiga room wakati haupo na kasema atazisambaza kunidhalilisha. Nikamuuliza kwani ulijipiga za uchi? Akasema ni za kawaida ila na za bra na chupy tu,maana jamaa anahisi eti alikua kaanza kujiuza kwa wazungu sababu ni hotel ya manyotanyota..... na room haidanganyi hata kwenye picha. Uzuri msg tulizokua tunachat dem alizifuta ila mapicha na snaps ndo zimemchoma. Kakatwa mapanga sio poa yani,ila kesi ipo mahakamani na ndio imemuogopesha jamaa kusambaza picha na video maana alishawaambia ndugu za madem wote kuwa anajiuza kwenye mahoteli ya kitalii na ushahidi anao maana ndugu wa pande zote mbili huwa wanamlaumu jamaa kutelekeza familia sasa nae anajisafisha kwa hicho kisingizio.
Itaendelea??? Nasubiria part two mkuu.
 
Vijana mkipinga mi K-Vant akili zenu zinawaza kuwanyandua wadada wazuri TU ? Tafuteni Hela jamani pisi kali ni chakula cha kawaida tu
Sasa matumizi ya hela ni nini kama sio kutomber
 
Nimeogopa kufungua codes mkuu maana ishakua kesi kubwa huko na bahati nzuri wanajua ni mzungu ndo alikua anakula mzigo 😃😃
Mwana cha msingi ulikula mbususu nd had gud time. Huyo bwege wa mapanga wacha alale selo tuu
 
Back
Top Bottom