Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Mkipenda waamini Sana wanawake mkija liwa msilete uzi wa lawama. Huwa nashangaa unakuta dume linaenda hadi chumbani kwa mke wa mtu kulala eti jamaa yake hayupo kasafiri mtacharangwa mapanga kwa ulafi wa K. Haya mambo ya kupenda mteremko hatari sana.