Uzembe wa CCM Tabora Mjini wapoteza Mitaa

I only wanted the message to be sent and delivered to my fellows in this way and I thank lord for this
Ujumbe umewafikia, na bila shaka watafuatilia na kuangalia mapendekezo yako yatatoa msaada upi ili kuondoa vyama uchwara hapo Tabora na kwenye mikoa mingine!
 
kiongozi kufa na ccm yako hapa mapinduzi mpaka kielewe..uzembe wa ccm damn...
 
Ujumbe umewafikia, na bila shaka watafuatilia na kuangalia mapendekezo yako yatatoa msaada upi ili kuondoa vyama uchwara hapo Tabora na kwenye mikoa mingine!

KIBUNANGO,
Unaita chama changu kilichoshinda Tabora kuwa chama uchwara?
Ukionekana tu Tabora, tutakupopoa na viazi vitamu.....

Kama Kigoma wamemchagua Zitto na wapepata lami, basi CCM lazima wafahamu kuwa SOMO LIMEFIKA.
Mwakani nawaambia kabisa vijana wangu hapa SIkonge kuwa:
CCM ni chama kizuri sana ila inabidi kiende LIKIZO. Wafanye kazi ya ziada kuja madarakani. Wakiwa nje, wataweza kuona madudu yao na wajisafishe kikwelikweli. Ila sasa hivi dawa ni moja, wapigwe chini na ile MIFISADI mikubwa iwekwe lupango ......... you who they are.......
 
mbona mnaendelea na mjadala wakati data kamili za vyama na wagombea walioshinda hamna??
 

...hii ni habari njema sana hapa JF!
 


Umemchapa vilivyo mzee wa mawazo ya Zidumu na kidumu muda wote . Nadhani kama ana akili ame elewa
 


Lazima ni bonge la Chakubanga wewe mie naachana na mawazo ya kijinga ya mtu anaye jifunza kuandika katika forum ya wajuvi .
 

Hivi M-bongo nani amekwambia kuwa seminar zinaleta ushindi kwa chama?, ushindi unletwa na mambo yafuatayo

1. Tekeleza ahadi zote ulizoahidi uchaguzi uliopita ndiyo uombe ridhaa nyingine ya wananchi.

2. Boresha hali ya maisha ya wananchi kwa kupunguza ufisadi, weka mazingira ya wananchi kufanikiwa, tengeneza ajira ili wananchi wenye uwezo wa kufanya kazi wafanye kazi na kujiinulia kipato.


My take: Unacholalamikia wewe ni kuwa viongozi wa CCM Tabora wameshindwa kutumia "Full-mbinu chafu za wizi wa kura na kutisha wananchi ili wajitangaze wameshinda" kama yalivyofanyika maeneo mengine nchini. Under free and fair election CCM will always be a loser. You know that, JK knows that, Makamba knows that, Polisi na UWT know that. Ndiyo maana unalalamikia makao makuu wawapatie more authority na ulinzi mwende kinyume na matakwa ya wananchi
 
Tabora Mjini na Vijijini bado CCM ina nguvu, kulikuwepo na makosa kidogo ya kiutendaji wakati wa maandalizi na kampeni zake kwa upande wa CCM, nyingi zikisababishwa na upeo mdogo wa Makada waliowakilisha, na kuwapa ushindi kidogo kwa vyama uchwara!

Nafasi ya Tabora kuendelea kupitia CCM ni kubwa mno kuliko kupitia vyama njaa na visivyo na uwezo wowote zaidi ya siasa za majungu. Hili wengi wa Wanatabora wanalijua na kamwe hawapo tayali kusafiria nyota ya wengine. Pamoja Wanatabora tutafika tu!

Huko KGM wanajua ni nani alipeleka lami.....
 

kuna ubaya gani mtu kuwa mwanachama wa CCM
 



Inamaana wewe kwa akili yako chama ni ccm tu?hivi watanzania tutaelimika lini juu ya kuchagua kiongozi na si chama? hivi kweli turudi nyuma kule kwenye vitisho vya "upinzania utaleta vita" na wajinga wengi wakatishika ukiwemo na wewe?Badilika unatia haibu.Tunaendelea vizuri sasa kwani angalau tuna wabunge wa upinzani,lakini wewe bado upo kwenye ujinga uleule wa "tumechukua tunaweka waaaa".Badilika unatia haibu hata kama ni kada!!!!!
 
Ulikimbia umande nini? Eti kuwa CCM ni ujinga, mjinga ni wewe usiejua hata kuandika! Tena ta'adabu!
 

M-bongo acha kulia lia;
wewe km ni kada wa chama tawala fanya chini juu hilo eneo unalolilia limeenda upinzani mlirudishe tena.

Kama ni upo upinzani sherehekea kidogo kisha Anzeni na phase 2 ya kuwaondosha kabisa ktk udiwani, ubunge na urais.

Huu sio wakati wa kulialia ni wkt wa vitendo.
 

wasalimie sana hapo SIKONGE, hapo ndipo asli ya bibi mzaa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…