M-bongo, nina wasi wasi na nia yako. Ni wazi kwamba:
1) Wewew ni mwanachama wa CCM
2) Ni adui wa kiongozi aliyepo sasa unayetaka awajibishwe
3) Una mawazo mgando kwamba CCM tu ndiyo chama chenye kutakiwa kuongoza
4) Wewe ni mjumbe kwenye vikao vya CCM Tabora, na ambaye umezoea kupewa fedha kwa semina za udhalimu ambazo mmekuwa mkipeana kwa njia ya takrima
5) Umeingia kwenye siasa kwa maslahi binafsi, kama kikaragosi wa wakubwa ili upate chochote ( mchumia tumbo)
SASA, ushauri wa bure ni kwamba uache huo ujinga, fanya kazi na watu waliochaguliwa kihalali, si wale waliopita kwa kupika matokeo. Usiangalie sana tumbo lako, watoto wako ndio watakao pata shida pale ambapo udhalimu mnaoendekeza CCM, utafikia mahali mkauza nchi kwa mafia RA na timu yake
TAFAKARI