KERO Uzembe wa kuhamisha mishahara na changamoto ya kupanda daraja

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Niwaheri

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,676
Reaction score
5,895
Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe kazi zako,

Sasa hapa changamoto ni kwamba mkuu anakwambia mimi siwezi kukupitishia kazi zako ikiwa hufanyi kazi kwangu na wakati mwingine unaweza kuta ni mkuu mpya hakujui.

Mi sijui hii wizara ikoje au ni kutokuwajibika kila mtu anafanya anavyojisikia imagine mtu unakosa daraja kisa uzembe wao.
 
Mnaohamishwa kwa mitandao au simu shida huanzia hapo.Utaratibu wa kiofisi unahama na personal particulars zako data sheet na barua ya uhamisho kama ushahidi.Sasa ukienda kimwili tu nani atakutambua?mishahara ya watumishi hupitia Benki,haihusiani na uhamisho kama umewakilisha document zako za uhamisho.
 
Sijakuelewa kaka unataka kumanisha nini
 
Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe kazi zako,

Sasa hapa changamoto ni kwamba mkuu anakwambia mimi siwezi kukupitishia kazi zako ikiwa hufanyi kazi kwangu na wakati mwingine unaweza kuta ni mkuu mpya hakujui.

Mi sijui hii wizara ikoje au ni kutokuwajibika kila mtu anafanya anavyojisikia imagine mtu unakosa daraja kisa uzembe wao.
Unalaumu wizara, lakini chanzo ni kuwa umehama kihuni kwasababu kuhama imekuwa ngumu kama kutaka kupindua serikali.
 
Kama unataka kuwabana vizuri, usiishie kulalamika chini kwa chini, andika barua rasmi kwenda kwa Katibu

Sijakuelewa kaka unataka kumanisha nini
Asante kwa ushauri
Unalaumu wizara, lakini chanzo ni kuwa umehama kihuni kwasababu kuhama imekuwa ngumu kama kutaka kupindua serikali.

Unalaumu wizara, lakini chanzo ni kuwa umehama kihuni kwasababu kuhama imekuwa ngumu kama kutaka kupindua serikali.
Kwanini uwaze kwamba nimehama kihuni na sijafata utaratibu?
 
Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe kazi zako,

Sasa hapa changamoto ni kwamba mkuu anakwambia mimi siwezi kukupitishia kazi zako ikiwa hufanyi kazi kwangu na wakati mwingine unaweza kuta ni mkuu mpya hakujui.

Mi sijui hii wizara ikoje au ni kutokuwajibika kila mtu anafanya anavyojisikia imagine mtu unakosa daraja kisa uzembe wao.
Jitahidimi kuwa na mahusiano mazuri na viongozi wenu sehemu za kazi msivimbe kisa cheque namba si yangu sijui nini sitahama haya umehama sasa boss wa zamani anakukazia hii mqana yake ulipokuwepo hapo ulikuwa unavimba kwaiyo anamua kukukataa tu kukutesa kisakolojia ila kukusaidia anaweza
 
Kama halijakukuta unaweza kuongea vyovyote
 
Back
Top Bottom