Sijakuelewa kaka unataka kumanisha niniMnaohamishwa kwa mitandao au simu shida huanzia hapo.Utaratibu wa kiofisi unahama na personal particulars zako data sheet na barua ya uhamisho kama ushahidi.Sasa ukienda kimwili tu nani atakutambua?mishahara ya watumishi hupitia Benki,haihusiani na uhamisho kama umewakilisha document zako za uhamisho.
Unalaumu wizara, lakini chanzo ni kuwa umehama kihuni kwasababu kuhama imekuwa ngumu kama kutaka kupindua serikali.Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe kazi zako,
Sasa hapa changamoto ni kwamba mkuu anakwambia mimi siwezi kukupitishia kazi zako ikiwa hufanyi kazi kwangu na wakati mwingine unaweza kuta ni mkuu mpya hakujui.
Mi sijui hii wizara ikoje au ni kutokuwajibika kila mtu anafanya anavyojisikia imagine mtu unakosa daraja kisa uzembe wao.
Kama unataka kuwabana vizuri, usiishie kulalamika chini kwa chini, andika barua rasmi kwenda kwa Katibu
Asante kwa ushauriSijakuelewa kaka unataka kumanisha nini
Unalaumu wizara, lakini chanzo ni kuwa umehama kihuni kwasababu kuhama imekuwa ngumu kama kutaka kupindua serikali.
Kwanini uwaze kwamba nimehama kihuni na sijafata utaratibu?Unalaumu wizara, lakini chanzo ni kuwa umehama kihuni kwasababu kuhama imekuwa ngumu kama kutaka kupindua serikali.
Jitahidimi kuwa na mahusiano mazuri na viongozi wenu sehemu za kazi msivimbe kisa cheque namba si yangu sijui nini sitahama haya umehama sasa boss wa zamani anakukazia hii mqana yake ulipokuwepo hapo ulikuwa unavimba kwaiyo anamua kukukataa tu kukutesa kisakolojia ila kukusaidia anawezaKwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe kazi zako,
Sasa hapa changamoto ni kwamba mkuu anakwambia mimi siwezi kukupitishia kazi zako ikiwa hufanyi kazi kwangu na wakati mwingine unaweza kuta ni mkuu mpya hakujui.
Mi sijui hii wizara ikoje au ni kutokuwajibika kila mtu anafanya anavyojisikia imagine mtu unakosa daraja kisa uzembe wao.
Ukihama kwa utaratibu mzuri, mishahara inahama.Asante kwa ushauri
Kwanini uwaze kwamba nimehama kihuni na sijafata utaratibu?
Kuna muda wanazingua kinoma yani
Kama halijakukuta unaweza kuongea vyovyoteJitahidimi kuwa na mahusiano mazuri na viongozi wenu sehemu za kazi msivimbe kisa cheque namba si yangu sijui nini sitahama haya umehama sasa boss wa zamani anakukazia hii mqana yake ulipokuwepo hapo ulikuwa unavimba kwaiyo anamua kukukataa tu kukutesa kisakolojia ila kukusaidia anaweza