Uzembe wa SADC kuligeuza jeshi lake liwe la kulinda amani DRC badala ya kupigana ndicho kinachofanya M23 na Rwanda waonekane kama wana uwezo mkubwa

Hata zikienda nchi zote kupigana huko mambo hayatakuwa rahisi kama unavyofikiria.
Mkuu Yoda, ni rahisi sana ...
Na ndo maana ile mwaka 2013-14 ,jeshi la AU lilioongozwa na Tanzania lilokwenda kimapigano siyo kwa mkao wa kulinda amani liliwakimbiza M23 hadi wakavuka mpaka na kurudi kwao Rwanda na Uganda.
AU waliwajibika ipasavyo kwa kuwapa mahitahji wapiganaji kwa namna ilivyoanishwa na wataalam wa battlefield.
Jeshi la AU lilipoondoka , jeshi la UN likiongozwa na India na wengine likachukua nafasi likiwa katika peace keeping mode. Rwanda na Uganda ikagundua huo udhaifu..,ikakusanya tena vijana wao warudi msituni. Jeshi la UN lilkuwa busy kupiga brash vibinti
 
M23 1mwa 2013 sio Hawa miaka 10 imepita sasa nendeni kichwa kichwa goma Sasa imeshakua nchi Sasa nyie mkienda ni wavamizi wa nchi ya watu ambayo inaongozwa na general nangaa mtakipata mnachokitafuta
 
Huu uzi nilioanzisha hauko kwa ajili ya kulishusha hadhi JWTZ.
Infact, huu uzi ni kuonesha mapungufu na ubahili wa SADC katika kutekeleza maazimio yake kijeshi ardhinii..kwa kutowapa vijana wao kile walichohitaji baada ya kuwasoma wapinzani wao.
Ndo maana nikatoa mfano namna jeshi la AU lilioongozwa na Tanzania mwaka 2014 lilivyowapiga ndani ya wiki 2 tu hao hao M23 n wanaosifiwa kijinga na baadhi ya watu..hadi kukimbilia kwao Rwanda na Uganda.
Ina maana watu wamesahau au wamejisahaulisha ili walete ligi ya mabishano ya kijinga yasiyo na fact?
 
Hapo kwenye akili timamu hapo..
Ndo ilikuwa hoja ya nilichoandika
Suala siyo uwingi wa nchi.....
Lengo lahuu uzi ni kuonesha udhaifu wa SADC katika kutekeleza majukumu yake. Na ndo maana japo jeshi ni la SADC lenye nchi wanachama 16....lakini kikosi kilichopelekwa ni cha askari 1300 tu, huku wakiwa na vifaa dhaifu....lakini kubwa kuliko yote ni kama vile wamepelekwa ili kulinda amani tu na siyo kimapigano.
Ukitaka kufananisha ,jeshi la AU la kimapigano ambalo kimsingi lilikuwa ni kama la Tanzania pekee,liliwasambaratisha M23 kabisa..walibaki wakatorekea kwa wazee wao Rwanda na Uganda mwka 2014. Kwa hiyo uwezo wa jeshi la JWTZ unaeleweka.....,,achilia mbali hao M23, lina uwezo wa kumuondoa huyo baba yao madarakani. Ila kuna watu wenyewe starehe yao ni ubishi...sehemu yenye nyekundu watasema nyeusi..unawaacha kama walivyo.
Lakini mapungufu ya kitoto ya SADC lazima tuyaseme yaliyosababisha washambuliwe kirahisi na M23 kupewa sifa zisizostahili.
 


M 23 sio waasi bali ni Wanajeshi wazalendo wa kweli wanaopinga ubaguzi na utawala wa kishetani na wa kipumbavu wa Tshekedi .
Utawala unaoshindwa kutumia rasilimali nyingi zilizoumbwa na Mungu kwa ajili ya Waafrika wote usaidie binadamu wanaoishi ukanda wote wa eneo hilo bila ubaguzi.

Tshekedi kama ni mzalendo basi avue suti yake avae Gwanda za jeshi aende msituni apigane urais wake . Badala yake Mhuni na Fisadi Tsisheked anapanda ndege kwenda kula starehe Ufaransa kwa Wezi wenzake na kuwaacha Wanajeshi wake wasio na Maslahi wala mishahara ,wanajeshi wanaoishi kama manyani ndio wamsaidie kupigania maisha na starehe zake.

Pumbavu kabisa .

M23 ndio wazalendo maana wanapinga uhuni,ufisadi ,mauaji ya Raia ,na ubaguzi unaofanywa na Wezi wa rasilimali za Afrika .

Nchi za SADDC zilipaswa kuwasadia Raia wa Kongo kuondokana na ukoloni mambo leo unaofanywa na serikali kwa manufaa ya familia zao na wazungu wa Ufaransa na Marekani .

Wanataka Kagame na serikali yake Waingie kupambana na wazalendo na waafrika Wenzao badala ya kupambana na serikali ya Tsisheked ambayo ni hatari kwa nchi jirani ya Rwanda ,Watusi ,wahutu ,waganda ,waha na wahaya na amani ya Tanganyika .
Serikali iliyowekwa kifisadi ya Tsisheked ikiwafukuza Banyamulenge kutoka kwenye Ardhi yao basi amani ya Wananchi wa Rwanda ,Uganda ,Tanzania au Tanganyika itakua mashakani maana hao watu wote zaidi ya mil. 10 watakua hawana pa kuishi na kufanya shughuli zao halali za kufuga ,kuchimba madini ,kulima na uvuvi .

Ni marais vichaa tu ndio wanaoweza kupitisha azimio la kupambana na M23 . Marais wenye busara wataacha maamuzi ya ndani ya Kongo kufanywa na wakongoman wenyewe kushirikiana na wananchi.

Tsisheked nchi imemshinda . Rasilimali zote za Kongo unawezaje kuwafukuza waafrika wenzako tena wachapa kazi kama Banyamulenge . Ni bora angewafukuza Wanajeshi wake wote wanaume wote wakongomani wanaopaka hina kwenye vidole na kuva hereni huku wakitikisa makalio na kushindwa kulinda nchi yao dhidi ya Mabeberu wazungu wanaopora madini na kwenda kuinua maisha ya wazungu .
Wazungu ulaya wanategemea rasilimali kutoka Afrika ili wakuze uchumi wao na kuwalipa mpaka wale wasio na ajira lakini Afrika watawala wanawaza kujineemesha na familia zao peke yake .


Jeshi la Kongo linapaswa kuungana na M23 na kumtoa madarakani Tsisheked kwa lazima na kumrudisha Ufaransa aache Kongo ipate Watawala wa kijeshi na kuiendeleza Kongo.

Ni wakati sasa wa majeshi yote ya Afrika kuondokana na uhuni wa wanasiasa wanaoanzisha siasa za kipumbavu na kuwatumia wanajeshi na polisi kupigania ujinga na ufisadi uliofanywa na wanasiasa .

Jeshi la Kongo halina hadhi inayolingana na utajiri ulioko Kongo lakini wanasiasa wa Kongo ni mabilionea .
Wanajeshi wa Kongo amkeni mtetee rasilimali za Afrika na maslahi yenu yawe mazuri kama jeshi la Ufaransa na Marekani .

Rais na mawaziri wa Kongo wanaishi maisha ya anasa kuliko hata Trump halafu wanajeshi wake na polisi wanaishi kama mbwa na kuku wa kienyeji .Kuku wa kienyeji hapewi matunzo na mmiliki lakiniakitaga mayai mmiliki anakimbilia kuyachukua na hata vifaranga anavichukua na kujigamba kuwa ni vya kwake .

Marais wengi wa Nchi za kiafrika wameacha wafanyakazi na Wanajeshi na polisi wao kuwa na maisha ya kuku wa kienyeji huku wao (Watawala) wakiishi maisha ya peponi.
Kama watawala wa Kongo hawaoni adha ya yale yanayotokea Kongo basi hawawezi kamwe kuleta maendeleo wala kujenga nchi yenye Haki ,usawa na uzalendo kwa wote.

Hivi ni nchi gani yenye Rais mzalendo anayeshindwa kuunda jeshi lenye mafunzo ya kijeshi badala yake anagawa silaha kwa raia ili waue wananchi wenzao kwa misingi ya kikabila na kiitikadi . ?
Jeshi kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi . Ni vipi silaha ziingiie Kongo na kuwafikia wananchi bila ya jeshi kujua ?
Marais wa nchi za SADDC wasijifiche kwenye mgongo wa M23 warudi kwenye nchi zao na warudishe majeshi yao nyumbani kwao kwa sababu tunajua kuwa UN na mabeberu wanaopora rasilimali za Kongo ndio wanaomwaga mapesa (dola ) kwa ajili ya kulinda wizi wao kwa kisingizio cha kulinda amani ya Kongo . Amani ya Kongo iko mikononi mwa wakongo na jeshi lao kumtoa Mtu mmoja na kakikundi kake kanakotumiwa na Mabepari wa ulaya Ufaransa na Asia kupora rasilimali za Kongo .

Kagame hahusiki zaidi ya kulinda nchi yake dhidi ya uvamizi wa Kongo unaofanywa kwa kisingizio cha Banyamulenge .
Hakuna Rais yeyote duniani anayeweza kukubali zoezi lolote la kuletewa Wafu zaidi ya mil. 10 kutoka nchi nyingine kwa kisingizio eti ni watu wa kabila moja na walioko kwenye nchi yake .
M23 ni wapigania Haki na watashinda na Kongo itakua huru na kurejesha amani yake kwa wakongo man wote bila kujali kabila,dini na rangi.
 


Kazi yao ni kulinda raia wasio na hatia . Na kulinda wale wanaojisalimisha .

Mambo mengine ya amani ya Kongo ni ya wakongo wenyewe .

Hakuna Jeshi la Tanzania linaweza kwenda kupigana na raia wa nchi nyingine wanaopinga utawala wa kidhalimu unaobagua watu wake .

Kitendo cha jeshi la Kongo kuanza kuua raia wake ni kitendo cha kishenzi na kijinga . Hata JWTZ wangekubali maamuzi ya kuwafukuza Wamasai kutoka Tanganyika kwenye ardhi yao kwa sababu Shekh Mwaipopo alisema eti ni Wakenya hali inageuka mbaya sana . Jeshi lenye wetu wenye akili kama Jeshi la Tanzania halikukubali kuwapiga ,kuwaua na kuwafukuza raia wa Tanganyika kwenye ardhi yao kwa sababu ya fisadi mmoja anayeitwa mwekezaji jambo ambalo jeshi la Kongo lilipaswa kuiga uzalendo wa jeshi la Tanzania kwa wananchi wake .
 


Tanzania tunanufaika nini na utawala wa kipumbavu na wa kibaguzi wa serikali ya Kongo Kinshasa ?

Kwa nini jeshi la Tanzania kushiriki mapigano dhidi ya Raia wasio na hatia ambao kimsingi wanapigania haki zao za kuishi kwenye ardhi waliozaliwa wakaikuta.

Yaani Serikali ya Kongo inakumbatia Wazungu waporaji wa madini ya Kongo na Afrika nzima na kisha kuwafukuza wananchi kwenye maeneo yao ili wawape wazungu hayo maeneo . Mbaya zaidi inawafukuza kwa misingi ya kikabila .
Tanzania tulitaka kufanya ujinga kama huo wa kuwafukuza wazawa kule Ngorongoro na kuwapa ardhi yote wageni . Wazawa ambao ni Wamasai wakasema wapo tayari kuifia ardhi yao .
Polisi kwa mihemko walitaka kuanza kuwapiga wamasai kwa sababu ya kutaka kumfurahisha mtu mmoja ambaye aliamka tu asubuhi na kuita marafiki zake njooni mchukue ardhi hiyo wenyeji hawana faida yoyote kwenye hiyo ardhi ,yaani watu walioishi zaidi ya miaka mia tatu unaamua tu kuwafukuza kwenye ardhi yao bila mjadala mpana sana wa kitaifa na azimio la Bunge kuidhinisha huo uwekezaji usio na tija kwa familia zaidi ya watu laki mbili .
Bahati nzuri Jeshi letu lipo kwa ajili ya Wananchi wote na kulinda mipaka yetu dhidi ya adui kutoka nje wakiwemo mabeberu wanaoshiriakiana na mamluki wao walioko ndani ya nchi na wengine madarakani.
 

Kwa nini wafukuzwe kwenye ardhi yao .?

Yaani Serikali ya Kongo Kinshasa ina watawala wanaishi maisha ya starehe tu huko Kinshasha halafu jeshi la Tanzania ndio litoe wanajeshi wake wafie utawala wake wa kifisadi ?

Kama anapenda kiti chake atoke na jeshi lake akipiganie kama hawezi basi akae kwa kutulia M23 watamtoa madarakani na kujenga jeshi imara la Kiongo bila kujali ukabila ,Udini na itikadi za kisasa .
Seikali gani yenye Rais asiye weza kutunza jeshi lake.?
Wanajeshi na mapolisi wa Kongo ni kama vibaka wanaoishi kwa kubangaiza maisha yao na bunduki mikononi huku wakishinda kwenye baa kulewa tu wakati nchi inaligawanyiko ya kisiasa na kijeshi na hata kijamii.
Tsishekedi kazi yake ni kujilimbikizia mali tu na wazungu halafu anawatumia hao wazungu na baadhi ya marais wasiofuata utawala wa haki kwenye nchi zao kuna kumsaidia kukaa madarakani wakati ameshindwa kujenga hata miundo mbinu kwenye majimbo yaliyojaa madini na rasilimali za kila aina.

Bila shaka Anayepaswa kutolewa kwa faida ya wananchi wote wa Kongo na Nchi jirani pamoja na Afrika nzima ni Tshesheked.

Kuwafukuza M23 Kongo ni kuifanya Afrika mashariki na kati kuwa na makundi ya watu waliozagaa wakiwa na silaha . Ujambazi Kagera ,Kigoma ,Tabora ,Katavi utarudi kwa kasi .

Ni bora M23 aachwe amtoe fisadi na dalali wa Mabeberu Tsishekedi .
 
Mkuu jielimishe mkimbizi hukimbilia nchi jirani hata kama sio kwao. Halafu uache kukalili kila zama na kitabu chake, ukiona this time mambo hayafananii na 2013 ujue vita hii haikuwa na faida wala maslahi yoyote kwa 🇹🇿 kuanzia ngazi ya juu mpaka chini.
 
Mna jitetea wakati zile Video za JW Wakirusha rocket na BM kuwachapa m23 mlikuwa mna salimiana sio ,ukwel ni SA,JW,BURUNDI na congo mmechapika
 
Hawana nia ya dhati kumaliza vita. Kwanza huenda wanasikilizia wazungu wanatakaje. Pia wawe wanaanza na uchaguzi kuwa huru na wa haki
 
Watutsi wamegundua hawawezi kuwa na maendeleo bila maliasili kama madini na madini hawana. Solution ni kuchukua kwa nguvu kwa jirani tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…