Uzembe wa simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara utawagharimu, acheni mazoezi ya wazi kila siku

Mkuu nimemuonesha Aden Rage hapo ulipoandika "Intellectuals" amecheka hadi machozi yamemtoka.
 
Mkuu nimemuonesha Aden Rage hapo ulipoandika "Intellectuals" amecheka hadi machozi yamemtoka.
Teh teh teh teh...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...we jamaa bhana....kwamba wale 'mbumbumbu' bado wapo?...haaa haaa...πŸ˜€πŸ˜€
 
Hutak au
 
We ni mpumbavu week zilizopita ulileta thread mwenyewe kwamba kwanini Simba anacheza wazi ,hapa unasema dunia ya leo mpira ni wazi,tukuelewe vipi we shoga
Siyo hivyo tu, hata CEO wa Simba alipodhalilishwa kule Zanzibar huyu GENTAMYCINE alishauri CEO aongezewe ulinzi na awe na tahadhali kubwa anapokuwa kwenye halaiki.Leo mwenzake CHIZI VITABU kasisitiza yale yale halafu jamaa linaibuka kumpinga.

Hii maana yake ni nini?Kwamba unashauri jambo fulani,kisha akatokea mtu mwingine akashauri jambo hilo hilo halafu unaanza kumpinga?Au jamaa anataka awe anasomwa yeye tu?Ni unafiki,ujuaji wa kizamani na kutafuta sifa za kijinga ndo vinavyomsumbua GENTA.
 
Kuna haja gani ya kufanya mazoezi ya kujificha wakati mechi iko wazi? Mpinzani wako akitaka kukusoma anachukua mechi zako tano za nyuma basi
 
Ceo kuongezewa ulinzi sawa lakini mazoezi ya wazi na kujificha yote yapo kwahiyo usidhani simba wana ya wazi tu
 
Huyo jamaa ana wivu wa kike mwingine akileta hoja ,ni mjinga moja hivi hana mbele wala nyuma anakesha vijiwe vya kahawa
 
Mtateseka sana nami Juha kama Wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…