TANESCO kata ya Kibamba -Dar, inafanya uzembe mkubwa sana kwa kushindwa kuhamisha nguzo za Umeme kwa muda kwenye barabara ya Hondogo iliyokuwa inajengwa.
Hii imesababisha Mkandarasi kuhamisha vifaa vya kazi na kupeleka sehemu nyingine, na kuacha kero kubwa kwa wakazi hasa mvua inaponyesha, barabara haipitiki kutokana na matope na mashimo, gari zinakwama, wiki iliyopita school bus kadhaa ziliteleza kidogo zianguke zikiwa na watoto kwenye gari.
Hii inasababisha hata boda boda na bajaji zishindwe kupita mvua inaponyesha..usafiri unakuwa shida sana, inalazimu wananchi kutembea umbali mrefu kwa miguu.
HATUA ZA HARAKA ZICHUKULIWE