Uzi Bora wa kuondolea stress 2018 huu hapa

Uzi Bora wa kuondolea stress 2018 huu hapa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Hakuna cha maana.stress unaondoa kwa pesa tu💸💸💴💵💰
 
hee
Kama kawaida kila mwaka jukwaa la photos huwa linaibuka na ushindi mnono kwa nyuzi bora kabisa za kuondolea stress. Tukiwa tumebakiza miezi michache kufunga mwaka. Jukwaa la photos limeendelea kutuburudisha kwa uzi murua wa

JF V.A.R - JamiiForums
heee..
mwaka umekaribia kuisha??? 🙆🙆🙆
 
nafarijika kuona michango yenu juu ya uzi wetu huu, niwapongeze wachangiaji wote na nyie watazamaji kwan uzi umeweza kuvuka mwaka mwingine na huenda bado ukawa uzi bora tena kwa 2019/2020 support yenu ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom