Uzi huu maalumu kwa ajili ya kuweka misemo maarufu na majina ya filamu husika ambazo tumewahi zitazama kwanyakati mbalimbali za maisha yetu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Lengo la Uzi huu kujikumbusha misemo maarufu iliyotolewa na wahusika wakuu kwenye filamu mbalimbali tuliwahi kuziona

Binafsi ni mpenzi wa filamu za holiwudi naanza na misemo 2 kwenye movie maarufu under siege 2: dark territory iliyochezwa na steven seagal
•chances favoured the prepared mind
•assumption is the mother of all fuckup

Karibuni
 
Ina maana hata hufahamu kuwa majina huwa yanaandikwa kwa kuanza na herufi kubwa?
 
Movie Title: Red One
Starring: Dwayne Johnson

Quote:
"Every day, every decision is an opportunity". 🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…