Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Lengo la Uzi huu kujikumbusha misemo maarufu iliyotolewa na wahusika wakuu kwenye filamu mbalimbali tuliwahi kuziona
Binafsi ni mpenzi wa filamu za holiwudi naanza na misemo 2 kwenye movie maarufu under siege 2: dark territory iliyochezwa na steven seagal
•chances favoured the prepared mind
•assumption is the mother of all fuckup
Karibuni